Kwenye nafasi za Ajira zilizotolewa na Wizara ya Afya; Kutotolewa wa majina ya Nutritionist nini tatizo?

nyahinga

Member
Dec 18, 2016
45
23
Naomba kufahamishwa juu ya ajira zilizotolewa na wizara ya afya hivi karibuni,

Kuna fani imeachwa, yaani hata mmoja hajaajiriwa hasa fani ya NUTRITIONIST.

Kuna sababu zozote wizara kuacha kuajiri wakati iliwaomba wahusika kutuma maombi ya nafasi hizo??
 
Attachments

  • IMG-20170725-WA0010.jpg
    IMG-20170725-WA0010.jpg
    87.2 KB · Views: 116
Pole wanaendelea kutoa ila kada hiyo bado haijatambulika vizuri serikalini hata ukiajiriwa cha kufanya huna maana vyakula vyote vya kitanzania ni nutrients kibao hivyo hata mimi nimesomea hicho kitu nimeajiriwa nipo nipo tu, mahitaji yake si mengi serikalini nakushauri tafuta kwenye NGOs wanaopenda kushauri virutubisho visivyo vya asli kwa ajili ya biashara zao hapo utawin au ubalozi
 
Naomba kufahamishwa juu ya ajira zilizotolewa na wizara ya afya hivi karibuni,

Kuna fani imeachwa, yaani hata mmoja hajaajiriwa hasa fani ya NUTRITIONIST.

Kuna sababu zozote wizara kuacha kuajiri wakati iliwaomba wahusika kutuma maombi ya nafasi hizo??
Bachelor za mwendokasi ....ivi coarse ya kuogelea wanatoaga chuo gan
 
We braza una akili sana yani... Hata mim nimeshindwa kuelewa kwakweli hawa jamaa maana yao ni nini sasa si bora wasingeiweka kwenye tangazo lao tuelewe moja.... Vijana tuliosama HN tunazidi kupaniki tu daah
 
Hivi hawa nutritionists wanataka kumfundisha nani lishe miaka hii kila mtu msomi mwelewa vyakula asili vimejaa sokoni au vinalimwa bustani za majumbani ‍♀️‍♀️
Nizaidi ya hayo uliotaja
katika hospital kuna wagonjwa wanaohitaji hao wataalam katika kupangilia nutritional supplements na vitu kadhaa kulingana na mahitaji. ..elimu Ni kitu bora sana mshike
 
Tunawaongezea sumu mwilini kuwapa virutubisho visivyo vya asili wazungu wanatuzuga tu hatujui walichoweka humo tutumie vyakula vyetu vya asili bora hii kozi ingeanza zamani kabla ya watu kuwa waelewa
Hata hivyo wapo waliopangwa wachache sana na baadae nafasi zinajaa watabaki wengi mitaani waanzishe catering zinalipa kuliko salary ya kila mwezi
 
Hivi hawa nutritionists wanataka kumfundisha nani lishe miaka hii kila mtu msomi mwelewa vyakula asili vimejaa sokoni au vinalimwa bustani za majumbani ‍♀️‍♀️
Nadhani bado hujafatilia takwimu za matatizo ya lishe nchini.
 
Sijawahi kuona utapiamlo kabisa miaka hii ya wasomi na jamii za waelewa,wagonjwa waliopo mawodini wanaelimishwa diet na drs and nurses nao walipitia somo la nutrion
 
Njoo mkoa wa ruvuma hasa wilaya ya tunduru uone huo utapiamlo,
 
Bachelor za mwendokasi ....ivi coarse ya kuogelea wanatoaga chuo gan
Tumboni

Back
Top Bottom