mkuu sasa atapigwa picha bila kuonwa???Kwenye kuinama, sijui kama yuko sawa au hayuko sawa, Ila nachojua, ni kaingia na viatu, Ina maana hakuna aliyemwonaaa. Ampe utaratibuu???
Labda anaipenda dini na anataka kuabudu now???
au movie?
Anacheza na moto huyu.
Ngoja wamstukie atajuta kuzaliwa
Moto gani ? Waislam wanaruhusiwa kusali na viatu
Mkuu Mshana mbona unamhukumu ? uliza basi kama kitu huelewi..!
waswalia mwezi hao, msikiti anaona mwaka hadi mwaka.
Labda kama alikua ameviweka mfukoni kafika humo ndani kavaa!!!!Unaruhusiwa kuswali na viatu mradi viwe visafi havina najisi(uchafu) uisilamu ni rahisi sn sio kama watu wanavyochukulia mambo juu juu.
hili eneo linaitwa mbuyuni ni nje ya msikiti pale viwanja vya malindi zanzibar, wakijaa ndani wengine huswalia nje, hapo ni nje, wakimaliza sala huwa ni njia watu wanapita kuendelea na mambo yao