Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Wengi hasa wenye experience zao mtakubaliana nami kwenye mahusiano iwe kwa mwanaume ni ngumu kupata unachokitaka.
Kila mwanamke/mume huwa na picha ya mwenza amtakaye katika maisha. Tofauti na sisi wana wa kiume hawa wana wa kike wao ndiyo balaa kupata wamtake ni mshikemshike. Kwanini?
Kwasababu wao wanaolewa wanasubiri mwana wa kiume. Labda wanawake niwatoe uoga hata sisi hutokea hivyo tunavigezo vyote vinaweza kuwa uzuri, umbo, elimu, umri, asili, rangi, tabia au ifanyaji kazi. Lakini mwisho wa siku unaweza kukuta.
-Yule mzuri sio mfanyaji kazi. Wanawake niwape hii siri hakuna mwanaume asiyependa...mwanamke.....mchapakazi...nieleweke hapa sio ulete chakula mezani hapana, lakini hata nikikupeleka kwenye biashara yangu niseme kweli hapa nina mke.
-Haya yule mwenye umbo na asili uitakayo...utakuta rangi sio uitakayo.
-Yule mchapa kazi utakuta haujapendezwa na uzuri wake.Kinachotokea nguvu ya asili inatumika....unajikuta umejitwalia mmoja wa wote.
Sasa mwisho kuna wanaoweza kuvifuta vigezo vyote punde waingipo na kuviacha tu alivyonavyo mwanamke aliyempata.(hawa hudumu).
Kuna wengine wanashindwa unakuta kashafanya uchaguzi lakini bado moyo anasema lakini hana hiki..lakini hana hiki....mwisho hujulikana wenyewe.
NB: kikubwa nikukubali huwezi kupata mtu anayeendana na vigezo vyako kwa asilimia zote. Vingine vya kuvumilia tu, ila sio kuvumilia kwa kusema itoke akilini na moyoni.