oyaaaa mambo hayo๐ ๐Tulia, nakupenda wewe.
Njoo pm tuyajenge ๐oyaaaa mambo hayo๐ ๐
Mimi ndio hunisalimii SEMEJA
Salama alekoNjoo pm tuyajenge ๐
umepotea siku mingi ila nakukumbuka sameja wanguMimi ndio hunisalimii SEMEJA
yani huyu๐คฃ๐คฃ hebu nikae kimyaNjoo pm tuyajenge ๐
Itakua tunapishana shift humu JF๐umepotea siku mingi ila nakukumbuka sameja wangu
Takbir โ๏ธSalama aleko
au tunatembelea nyuzi tofauti ndo maana๐Itakua tunapishana shift humu JF๐
๐๐๐ฅ๐ฅau tunatembelea nyuzi tofauti ndo maana๐
Haaahaa ๐ ๐ umenyanyua JAMBIA KAMA OSMAN BAYTakbir โ๏ธ
Kuchinja tuu ๐Haaahaa ๐ ๐ umenyanyua JAMBIA KAMA OSMAN BAY
Weka humu๐ฎ๐ฎ mdogo wanguEh kumbe nna mke ๐
ShesRise_1 Mbona hii taarifa ya kukuoa sina
Nakupenda pia mdada wangu โค๏ธWeka humu๐ฎ๐ฎ mdogo wangu
Ila nakupenda โค๏ธ
Hongera sana mkuu ๐๐Miaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm nikiwa mtumishi wa government. Usijikatie tamaa Mungu yupo
Sina neno, igeni mfano wa mtoa mada na msijikatie tamaa.sisy Binti wa zamani Seran tieni neno huku
Naunga mkono hoja , kuna mda unapaswa kukata tamaaKwanini ukate tamaa?? Matatizo yapo tu itafute Raha kwa nguvu zote!!
Ukishakata tamaa Nini kinafuata?Naunga mkono hoja , kuna mda unapaswa kukata tamaa
Unaachana na wazo linakupotezea mda bila matokeo chanyaUkishakata tamaa Nini kinafuata?
Unawashauri Nini wanaokata tamaa na kutamani kujiua wakufe waachane na shida za Dunia?Unaachana na wazo linakupotezea mda bila matokeo chanya