Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 569
- 876
Asante sana Mkuu kwa code hiiHongera mkuu usisahau kujiwekezea kwa maisha ya uzeeni
Mungu akubarikiMiaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm nikiwa mtumishi wa government. Usijikatie tamaa Mungu yupo
Na wewe pia mkuuMungu akubariki
Mkuu kuna watu wanapitia changamoto akikuelezea utashika kichwa.kifupi ni kutokukata tamaaKwanini ukate tamaa?? Matatizo yapo tu itafute Raha kwa nguvu zote!!
Badala ya kumsaidia ili atatue changamoto zake wewe unashika kichwa!!!!!Mkuu kuna watu wanapitia changamoto akikuelezea utashika kichwa.kifupi ni kutokukata tamaa
Asante maa๐
unaendeleaj lakinAsante maa๐
Salamaunaendeleaj lakin
oukyyyy nafurahi kusikia hivyoSalama
๐oukyyyy nafurahi kusikia hivyo
nimeona sehemu mmehalalishwa ila mnavunga hamnazo๐ wakati nje ya box mnapendanaEh kumbe nna mke ๐
ShesRise_1 Mbona hii taarifa ya kukuoa sina
Tumehalalishwa Na sio sisi tumehalalisha ๐nimeona sehemu mmehalalishwa ila mnavunga hamnazo๐ wakati nje ya box mnapendana
vyote vyote ๐Tumehalalishwa Na sio sisi tumehalalisha ๐
Tulia, nakupenda wewe.vyote vyote ๐