Kwenye kwata ya kimya kimya 'Balotelli' ulifunika

Annuity

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
338
198
Leo tulikuwa tunaangalia maazimisho ya miaka 55 ya uhuru wa TZ kupitia ITV. Ambapo kuna mtu mtangazaji alikuwa akimtaja kama balotelli kweli alifurahisha watu alivyokuwa akigeuka na kufanya manjonjo.. Leo nimejifunza 'ukifanya unachokipenda hakuna kazi unayofanya' ila unakuwa una enjoy na salary ina flow. leo Balotelli alikuwa ana enjoy sana na sisi tume enjoy sn.
 
Ni yule kiwi?
 
Mkuu Ifumange sikuwapo uwanjani nilikuwa naangalia mubashara kupitia ITV kuna jamaa alikaa mstari wa mwisho mtangazaji alikuwa akimuita 'balotelli' jamaa anaipenda kweli kazi yake ni uzalendo wa hali ya juu alifurahisha sn watu..
 
Mkuu ifumange sikuwapo uwanjan niliangalia kupitia itv mtangazi kuna jamaa alikuwa akimuita balotelli jamaa alikuwa vizuri sn anaipenda sn kazi yake
 
Hata Mbwembwe za Ndugu Rais kwny Ukaguzi wa Gwaride zilikonga sana Nyoyo za Watazamaji
 
baloteli amehamia jwtz? kweli bongo nyosso vp duku la baloteli nalo lilikuwepo???
 
Wekeni japo video tumuone na sisi ambao tulikua kazini na hatukupata muda Wa kumuona ballo. Ni ombi kwa mwenye video tafadhari
 
Jamaa was great ...jinsi alivyokuwa anageuka ilikuwa raha sana kwa kweli.Ila gwaride ya kimya kimya ilifunika kwa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom