MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,439
TUNDU LISU nimwanasheria WA KWENYE VYETI, tena aliniacha hoi kipindi cha kuhojiwa na VOA kuhusu Slaa kiukweli nimemuweka ktk kundi la VILAZA walopokaji kufuata mkumbo wa DJ Mbowe hana lolote
Mkuu ukitoa Dr Slaa alikuwa mtu ninayemuamini sana kama mtu mkweli,mzalendo na asiyeyumbishwa ..lakini nilianza kushtuka alipoanza kuzungumzia nafasi yake kwenye issue ya list of shame ...ile timing baada ya ukimya wa Dr Slaa tena kutoka kwake ilinibadili kabisa mtazamo wangu ktk siasa za upinzani na CCM ....yaliyoendelea pale na ushiriki wake imenibadili kabisa namna ya kufikiri kuhusu hawa wanasiasa wetu ....