Kwenye hili,WANAUME tunafyata mkia!

Hako kajumba ndo katakuchanganya kabisa bora utafute ufumbuzi mwingine mkuu vijumba huwa vinajua kwamba hapo umeegesha tu msala kwako ukisha unapotezea ndo kanakumaliza kabisa bora ule na huyohuyo japokuwa naee ana maviyke ipo siku yataisha utapumzika


Akili yenyewe ni kuwa na kajumba kadogo pembeni ukinuna nahama kwa muda
 
ila kiboko ya mwanamke mpachike watoto 3 wa haraka, kila mwaka ndo unampumzisha kwa miaka minne ile anaanza kuinua macho juu unampa ya mwisho ya kuzeekz nayo.
kama serekali ya jk ingetoa huduma bure ingekuwa poa sana ila hata sindando buku 20 utaongeza stress
 
Bill clinton na mkewe Hillary walisoma University moja. Hilary alikwua na boy friend mwingine, na katika process, Bill akamzidi speed jamaa, akamwoa Hillary.

Baada ya kuwa Rais wa Marekani, one day Bill akamtania Hillary: Unaona sasa, umekuwa first lady, ungebaki na jamaa yako wa zamani usingekuewa first lady.

Confidently, Hillary answered: I would make him also to be a president! This means what???

Hillary made Bill to be a president of the United States of America!

JF wanaume mpo hapo????
 
and even more for JF men!!!!!!



When everyone on earth was dead and waiting to enter Paradise , God appeared and said, "I want the men to make two lines. One line is for the men who were true heads of their household, and the other line for the men who were dominated by their women. I want all the women to report to St. Peter."
Soon, the women were gone, and there were two lines of men. The line of the men who were dominated by their wives was 100 miles long, and in the line of men who truly were heads of their household, there was only one man.

God said, "You men should be ashamed of yourselves, I created you to be the head of your household! You have been disobedient and have not fulfilled your purpose! Of all of you, only one obeyed. Learn from him."

God turned to the one man, "How did you manage to be the only one in this line?" The man replied,


"My wife told me to stand here."





















 
Okada are u sure?Sidhan kama unajua anaechagua rais wa Marekani!
 
Mimi sibishi, lakini tunapoelekea, hayo uliyoyasema, yatabaki historia tu................... Wanawake wa kizazi hiki sio sawa na wale wa zamani ambao walitishwa na mila na desturi pamoja na mafundisho ya dini juu ya ndoa na mahusiano. Nyie subirini tu, siku si nyingi mtashuhudia haya niyasemayo.............. Zile zama za kuwaona wanawake kama wao ndio wenye wajibu wa kuamua kuwa ndoa iendelee au isiendelee, zinaelekea ukingoni, wote sasa tutakuwa na wajibu katika hilo, kwa maana ya ukimwaga mboga namwaga ugali.............
 
Okada,Okada!!Umevunja mbavu zanguuuuu!!!!
 
Mtambuzi,tatizo hili ni suala la kimaumbile zaidi na sio mazingira!
 
kweli wanawake wanaumiza vichwa.mwanamke ni pasua kichwa. ndo maana unaona wanaume wengi wembamba. Mia
 


CHECK HII HAPA.

MITH 21.19 Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika;
Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi

NA HII PIA

MITH,21.9 Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini,
Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…