Kwenye hili,WANAUME tunafyata mkia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenye hili,WANAUME tunafyata mkia!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Nov 24, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama hili nalo linahitaji mabishano!Ukweli ni kwamba kwenye ndoa au mahusiano,mwanamke ndie muamuzi kwamba hiyo ndoa au mahusiano yaendelee ama la,akichoka MWANAUME lazima utoke nduki maana vibweka vyao havivumiliki.Sorce,METHALI 14:1"Mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake,lakini alie mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe"na pia kuna mahali pameandikwa"ni heri kukaa juu ya paa la nyumba kuliko kuishi ndani ya nyumba na mwanamke mgomvi na mlalamishi"!Maandiko haya yanaonesha namna ambavyo mwanamke ana nguvu linapokuja suala la kusitisha ndoa/mahusiano!Hapa lazima wanaume tufyate mkia!
   
 2. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ndoa kama hii au wamaanisha ndoa hipi
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  ndo maana mnatakiwa kuishi na wake zenu kwa akili
   
 4. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Kaka quote ya pili tupe source kama ile ya kwanza.
   
 5. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Akili yenyewe ni kuwa na kajumba kadogo pembeni ukinuna nahama kwa muda
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ni methali hiyo hiyo ila sikumbuki ni wapi!
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Umeonaeeeeee!
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mpeni atakacho mwanamke kwani ndio mlezi wenu na watoto wenu akitaka nuymba mpe raha ndio usiseme...
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Aisee hiyo quote ya pili nimechoka mimi kamanda
   
 10. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he sometimes ukisoma bible inabidi ucheke tu..eti..ni kheri kukaa juu ya paa la nyumba....wanawake wana stress hila hatuwezi ishi bila wao
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kila mmoja ananafasi yake ktk jamii so siwezishangaa
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndo maana na mwingereza nae akasema behind the sacceseful man there is a woman japo siikubali kivile ila....!
   
 13. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hiyo nyumba ndogo ni mwanamke au mwanaume maana kama ni mwanamke hujasolve tatizo bali umeongeza
   
 14. e

  ejogo JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Fact of life: One woman brings you into this world crying and the other ensures you continue to do so for the rest of your life!
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Hii nayo mh!We acha tu,hawa wanawake hawa!!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kwa kifupi wanatakiwa kujua 1+1 =11

   
 17. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Duh! Sasa ukihama kwa muda siku utakayo rudi mie ndio ntakuondosha moja kwa moja kwa kero nitakazokushushia.
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ona!Wanawake bana wana shida sana!
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  na nyumba ndogo ina kibuze, mkeo nae kimya kimya anavuta kidumu. Hapo lazima mdate
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ila kiboko ya mwanamke mpachike watoto 3 wa haraka, kila mwaka ndo unampumzisha kwa miaka minne ile anaanza kuinua macho juu unampa ya mwisho ya kuzeekz nayo.
   
Loading...