Jamani naomba tuwe na fikra chanya, Pinda ametoa changamoto na ni wajibu wa wabunge na watendaji wengine wa kisiasa kuhakikisha mwananchi wa kawaida anakombolewa, tukimuachia Pinda peke yake hakika hakuna litakalotokea, tena alitaka bunge liwe kali, kama tumemuelewa wote maana yake wamsaidie kuiwajibisha serekali katika utendaji wako; hofu ni kwamba bunge lina wazee na wana ccm zaidi ya 240, je watashirikiana na wenzao wa chadema kumkomboa mwananchi!? Binafsi sina mashaka na Pinda ila kile kikundi kilicho nyuma ya pazia(mafisadi) ndio kinatibua, bunge likiwa kali mwananchi atakombolewa tu!:yield: