Burton86jm JF-Expert Member Joined Jul 28, 2011 Posts 616 Reaction score 183 Apr 19, 2013 #1 Imekuwa kero na balaa kwa hizi decoder za DSTV mpya DSD 3U,kufa upande wa audio(Sauti),ndio tatizo linalokera saana,tofauti na decoder zile za awali kubwa na zenye cover la bati,mbaya zaidi unawapigia wanadai kukubadilishia itakugharimu elfu 40.
Imekuwa kero na balaa kwa hizi decoder za DSTV mpya DSD 3U,kufa upande wa audio(Sauti),ndio tatizo linalokera saana,tofauti na decoder zile za awali kubwa na zenye cover la bati,mbaya zaidi unawapigia wanadai kukubadilishia itakugharimu elfu 40.
M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 462 Apr 19, 2013 #2 heri yangu mie bado niko kizamani bati langu!