angomwile
Senior Member
- Sep 10, 2011
- 116
- 62
Mimi nafikiri kwenye haya mambo ya dini tulipigwa! na hakuna ukweli hata kidogo!
Mfano kwenye kuruani wameandika kuwa mungu hana ubaguzi na wala hana upendeleo kwa binadamu, lakini hapo hapo tunasoma kuwa muhamad ndie alishushiwa maandiko ili atusambazie dunia nzima?
Hii inashangaza na inaleta picha ya ubaguzi kwa huyo mungu muweza wa yote wa kuruani😂 kwenye jambo la muhimu kama hilo anampaje mtu mmoja?