mwendo wa kunyakua hatari sana ile!
!
mi nikajua grmwaride la sita kwa sika kumbe gwaride hili. Hili mie napenda lile la wanajeshi wanakimbia kwa kurukaruka huku wameshika bunduki zao, nzuri sana.

me napenda pale Rais anapokagua gwaride halafu kuna jamaa wawili huwa wanatamgulia wana mbwembwe hao..huitwa sweepers bila shaka...
Jukwaani hao ni washabiiki wa yanga?Huwa wanavua halafu kuna maneno wanasema hivi, ni burudani sana.
View attachment 218115
Jukwaani hao ni washabiiki wa yanga?