Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,733 Reaction score 184,578 Yesterday at 8:22 PM #21 Pole sana... Cc: Mahondaw
S Saveya JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 3,552 Reaction score 3,561 Yesterday at 8:26 PM #22 Wakati inasoma Chuo waliwahi kukutumia hela? Kama waliwahi kukutumia hela wanna haki ya kulalamika kwa sababu ulikuwa unawapiga mizinga.
Wakati inasoma Chuo waliwahi kukutumia hela? Kama waliwahi kukutumia hela wanna haki ya kulalamika kwa sababu ulikuwa unawapiga mizinga.
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,152 Reaction score 18,093 Yesterday at 9:02 PM #23 Familia ya mzee, hakuna connection hizo za kupigiana simu, ni yeye na ndg zake wanajua wanavyowasiliana Nimpgie simu kampgia simu babangu huyo mwanae au ni uchokozii tuu wa ndugu
Familia ya mzee, hakuna connection hizo za kupigiana simu, ni yeye na ndg zake wanajua wanavyowasiliana Nimpgie simu kampgia simu babangu huyo mwanae au ni uchokozii tuu wa ndugu