Kwenye cm yako una Aplications gan

Kwenye cm yako una Aplications gan

Nilishaupdate sana jamani
Inanigomea mimi
Mbona mimi zote zinapiga kazi fresh tu
Hizo screenshot ni za sasahivi
Screenshot_2019-09-05-19-02-17.jpeg
Screenshot_2019-09-05-19-00-12.jpeg
 
Hiyo mimi natumia
 

Attachments

  • Screenshot_20190828-074559_Premise.jpg
    Screenshot_20190828-074559_Premise.jpg
    59 KB · Views: 26
MetaTrader 4
Evernote
Mambo ya pesa. Na niko na notes zangu zote tokea 2012 naweza trace notice zangu za ofice na zingine zote
 
Back
Top Bottom