Zee la Kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2023
- 334
- 627
Wew ndo shabiki wa soka mkuu wachana na hawa bendera fuata upepoKiukweli Simba yetu ni mbivu msimu huu, matumaini ya nusu fainali ni asilimia 20 tu.
Baelezeage hao Ngada FC.Habarini Wananchi wote wa JF..!
Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza..
Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya Madhaifu ni yale yale ya kujirudia..Nikaona Yanga Baada ya Dirisha la Usajili Ingizo la Winger Telez na Middlez wa kibabe zimezaa Matunda kuhimarisha timu..Hiv sasa Yanga hii hata waingie Uwanjani wakiwa wamefungwa Vitambaa Machoni Bado Itaipiga Timu yoyote ile kwa mkapa na Ugenini..
Upande wa Simba Nilisha waambia Tanfu Awali Backline ni mbovu, Viungo Wabovu ukimtoa Tripple C ambaye kwel n Lulu njema kwa Mtani Pale hajatupa Hela,Foward za Kina Phil na kale kafup kutok Senegal mpk walE Twins "OK-" ni wabovu wabovu..Onyango yule yule Aliye wachomesha Kwa mkapa goli mbil ndiye aliye wachomesha na Morocco pale (Moha V stadium)
Sasa namuona Kapombe nae kaumia Lulu ya Simba kwenye Backlines na Tshabalala pekee hawez kuwapa Advantage ya Usalama mana ni Flop back Anafany Mikimbio ya Kupand na kushuka huwez kumpa tena kibarua akakukabie Center zaid zaid utatak afie uwanjan kwa vichomi...pasi na shaka Kapombe Fitness yake tunaijua sitoshangaa Tukisikia Absent until Next Season or Unfit for some games...
Huu sio muda wa kubembelezana Acha nifupishe kwa kusema Simba ni Mbovu na Hata Ile Mechi na Raja Ingechezwa Mwaka mzima simba Asingeshinda wala Kutoa Draw..Naiombea Tu Dua kwa Sir God Robo wasipangiwe na Mamelod wala Wydad mana Niamini Mimi...
Kama Draw itapangwa Simba V Wydad or Mamelodi..Simba Bora asifanye hata mazoez kabisa mana ni Upotezaji wa Muda, Fedha na Nishati ya mwil kufanya mazoez kwa kwenda kucheza Mechi ambayo Hata Ikichezwa mwaka mzima Lazima Ufungwe goli kuanzia 3 kwenda juu..
Mimi ni Mwana Simba Fc a.k.a Paka Fc Nawapongeza Watani Wetu Kwa Maingizo yao mapya yameifany timu haina muda wa kunyenyekea nyau km Feitoto na Morison..Kocha mmoja Fundi Mourinho aliwahi kuzungumza Wakati ule Man utd kwamba "Timu ni kubwa kuliko mchezaji" Ukiona Mchezaji anataka aizid timu huyo ni wa kuondolewa...
Naiona Yanga inayo ng'aa sasa, Wananchi Wana Furaha,,Mechi V Tp mazembe hata Ingechezwa Mwaka mzima Mazembe Asingepata hata Goli niamini mimi...Ukuta wa Ibra Bacca na Mwamnyeto, Ukiwa na Lomalisa kushoto afu kulia Akikaa Djuma Unakupa uhakika wa Kuondoka na Clean sheet,,sas hapo Mayele, Musonda Jr na Moloko wakiwa kwenye Form kazi yako ni kuhesabu Goli kuanzia Mbili kwenda Juu huku umekaa benchin bila presha.. Hapo Aucho Hayupo Angekuwepo Mechi Ile Tungeondoka na Ugonjwa wa kope za Macho kwa kuhesabu pasi za "Nipe nikupe Raha Tupate"
Sas hapo Akiwa Sure boy Anakwambia nyie chezen mpate raha mimi niachien Nipige Turn over wakat huo yupo mudathir yahya Mashahala ukimtoa Anaingia Mauya KwamBa nyie chezen niachen mim niwakabie natosha kuwakaba Simba wakiungana na Mamelod na Bayern na Barcelona peke angu tu
Sasa Hiv Hata Ikija Barca na paris na Bayern na Man city wameungana kwa pamoja wapate kibali kutoka FIFA, CAF na TFF kucheza wachezaji 40 ndani wakutane na Yanga Yenye wachezaji 11 Inapigwa tu na sio Chini ya Goli 3......NAWASILISHA
THE CAPTAIN #JOE BIDEN (ZEE LA KAZI) AGAIN..[emoji419][emoji375][emoji123]
Ulianza kusema kwamba mtani (Simba) hajatupa hela kwa Triple C. Baadaye unakuja kusema wewe ni mwana Simba!... Viungo Wabovu ukimtoa Tripple C ambaye kwel ni lulu njema kwa mtani pale hajatupa hela,
... Mimi ni Mwana Simba Fc a.k.a Paka Fc Nawapongeza Watani Wetu Kwa Maingizo yao mapya yameifany timu haina muda wa kunyenyekea nyau km Feitoto na Morison..
HUNA AKILI.Habarini Wananchi wote wa JF..!
Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza..
Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya Madhaifu ni yale yale ya kujirudia..Nikaona Yanga Baada ya Dirisha la Usajili Ingizo la Winger Telez na Middlez wa kibabe zimezaa Matunda kuhimarisha timu..Hiv sasa Yanga hii hata waingie Uwanjani wakiwa wamefungwa Vitambaa Machoni Bado Itaipiga Timu yoyote ile kwa mkapa na Ugenini..
Upande wa Simba Nilisha waambia Tanfu Awali Backline ni mbovu, Viungo Wabovu ukimtoa Tripple C ambaye kwel n Lulu njema kwa Mtani Pale hajatupa Hela,Foward za Kina Phil na kale kafup kutok Senegal mpk walE Twins "OK-" ni wabovu wabovu..Onyango yule yule Aliye wachomesha Kwa mkapa goli mbil ndiye aliye wachomesha na Morocco pale (Moha V stadium)
Sasa namuona Kapombe nae kaumia Lulu ya Simba kwenye Backlines na Tshabalala pekee hawez kuwapa Advantage ya Usalama mana ni Flop back Anafany Mikimbio ya Kupand na kushuka huwez kumpa tena kibarua akakukabie Center zaid zaid utatak afie uwanjan kwa vichomi...pasi na shaka Kapombe Fitness yake tunaijua sitoshangaa Tukisikia Absent until Next Season or Unfit for some games...
Huu sio muda wa kubembelezana Acha nifupishe kwa kusema Simba ni Mbovu na Hata Ile Mechi na Raja Ingechezwa Mwaka mzima simba Asingeshinda wala Kutoa Draw..Naiombea Tu Dua kwa Sir God Robo wasipangiwe na Mamelod wala Wydad mana Niamini Mimi...
Kama Draw itapangwa Simba V Wydad or Mamelodi..Simba Bora asifanye hata mazoez kabisa mana ni Upotezaji wa Muda, Fedha na Nishati ya mwil kufanya mazoez kwa kwenda kucheza Mechi ambayo Hata Ikichezwa mwaka mzima Lazima Ufungwe goli kuanzia 3 kwenda juu..
Mimi ni Mwana Simba Fc a.k.a Paka Fc Nawapongeza Watani Wetu Kwa Maingizo yao mapya yameifany timu haina muda wa kunyenyekea nyau km Feitoto na Morison..Kocha mmoja Fundi Mourinho aliwahi kuzungumza Wakati ule Man utd kwamba "Timu ni kubwa kuliko mchezaji" Ukiona Mchezaji anataka aizid timu huyo ni wa kuondolewa...
Naiona Yanga inayo ng'aa sasa, Wananchi Wana Furaha,,Mechi V Tp mazembe hata Ingechezwa Mwaka mzima Mazembe Asingepata hata Goli niamini mimi...Ukuta wa Ibra Bacca na Mwamnyeto, Ukiwa na Lomalisa kushoto afu kulia Akikaa Djuma Unakupa uhakika wa Kuondoka na Clean sheet,,sas hapo Mayele, Musonda Jr na Moloko wakiwa kwenye Form kazi yako ni kuhesabu Goli kuanzia Mbili kwenda Juu huku umekaa benchin bila presha.. Hapo Aucho Hayupo Angekuwepo Mechi Ile Tungeondoka na Ugonjwa wa kope za Macho kwa kuhesabu pasi za "Nipe nikupe Raha Tupate"
Sas hapo Akiwa Sure boy Anakwambia nyie chezen mpate raha mimi niachien Nipige Turn over wakat huo yupo mudathir yahya Mashahala ukimtoa Anaingia Mauya KwamBa nyie chezen niachen mim niwakabie natosha kuwakaba Simba wakiungana na Mamelod na Bayern na Barcelona peke angu tu
Sasa Hiv Hata Ikija Barca na paris na Bayern na Man city wameungana kwa pamoja wapate kibali kutoka FIFA, CAF na TFF kucheza wachezaji 40 ndani wakutane na Yanga Yenye wachezaji 11 Inapigwa tu na sio Chini ya Goli 3......NAWASILISHA
THE CAPTAIN #JOE BIDEN (ZEE LA KAZI) AGAIN..[emoji419][emoji375][emoji123]
Fan unaye jitambua...KONGOLE MKUU IMEWEZAAHakika simba yetu ni mbovu kweli kweli nakubali mkuu[emoji41]
Paka Fc ndo mna Akili mkuu😁HUNA AKILI.
HII PUMBA BORA UPELEKEE KUKU....
Hii ikatumike kama inspirational not hate😁Ulianza kusema kwamba mtani (Simba) hajatupa hela kwa Triple C. Baadaye unakuja kusema wewe ni mwana Simba!
Sasa utakuwaje mtani wa Simba na hapo hapo ukawa Simba? 😁
Hivi utopolo, mtaongezeka lini kutoka hao wawili wenye akili? Unashindwa hata kutunga kastori ka uongo watu tukaingia kichwa kichwa?
Et NGADA FC mkuu hiyo imewezaaa😁😁😁Baelezeage hao Ngada FC.
Ukiona hii ni pumba mkuu ukute wew ni kuku😁😁Uzi ndefu ukute ndani ni pumba tu[emoji2961]
Its about build up not hating😂 muachage makasiriko wana paka fcShida ya wabongo kila mtu mjuaji kwenye kila kitu,,,,vingine tuwe tunaacha tu vipite kuliko kuleta ujuaji mwisho wa siku ukaoneka hujui na hujitambui,,,Kaka acha uchambuzi wa mpira na ujuaji wa kipuuzi wa kwenye vijiwe vya kahawa,,unaokota okota habari huko sijui kama umefanikiwa kuzifanyia tafiti kabla ya kuja kutuandikia humu,,,,Kwani ungekaa kimya ungepungukiwa nini??