Kwenye simu nyingine kama samsung ukiziba kamera moja inafanhaje?Juzi nikawa naangalia camera ya Infinix hot 7 camera mbili nikawa nafikiria inakuwaje camera mbili zinfunction at the same time nikasema labda camera moja ni ya beauty nyingine in ya portrait au panorama. Si nikapata idea kwa nini nisizibe camera moja ili nione ipi ina kazi gani, nikakuta camera inayofanya kazi in ile ya juu ikimaanissha kwamba ile ya chini ni urembo.
Nikasema labda ni mbovu kuja kuangalia Tecno ya mtu yenye camera mbili ni hivo hivo.
Wazee hebu jaribuni kuangalia camera zenu alafu mnipe mrejesho.
Punguza USHAMBA!..Samahani hiyo Infinix, Itel, Tecno ni vitu gani maana binafsi ukizungumzia cm najua unazungumzia Iphone, Sony, LG, Samsung, Nokia nk
Bro unatumia simu gani???Hujajua matumizi ya dual camera mkuu. Acha kukurupuka nenda kasome uelewe matumizi yake.
Kwa kukusaidia kidogo tuu, simu yako inapokuwa na camera 2/3/4 wakati wa kupiga picha haimaanishi zote ndo zinapiga picha. Kila lens inakuwa na kazi yake, mfano lens moja ndio inaweza iwe inapiga picha wakati nyingine ina capture depth of the field.
Nenda kasome google wa uelewa zaidi.
Unforgetable
Tecno Phantom 8.Bro unatumia simu gani???
Mkuu upo sahihi kwenye depth of field ila pia zipo camera nyengine ambazo zinafanya simultaneously na main camera vile vile.Hujajua matumizi ya dual camera mkuu. Acha kukurupuka nenda kasome uelewe matumizi yake.
Kwa kukusaidia kidogo tuu, simu yako inapokuwa na camera 2/3/4 wakati wa kupiga picha haimaanishi zote ndo zinapiga picha. Kila lens inakuwa na kazi yake, mfano lens moja ndio inaweza iwe inapiga picha wakati nyingine ina capture depth of the field.
Nenda kasome google wa uelewa zaidi.
Unforgetable
Na mara nyingi specifics za Gsm arena kwa makampuni hayo huwa sio accurate aseeMkuu upo sahihi kwenye depth of field ila pia zipo camera nyengine ambazo zinafanya simultaneously na main camera vile vile.
Ukitaka kujua usanii wa Tecno/itel/infinix nenda gsmarena kaangalie specs za hizo camera ndio utajua.
Mfano hot 8 ina triple camera kama hivi
View attachment 1257568
Qvga mwaka 2019, hio ni 320x240 kama sio urembo inafanya nini hapo?
Wanatoa india hizo simu zinapouzwa una ushahidi sio accurate?Na mara nyingi specifics za Gsm arena kwa makampuni hayo huwa sio accurate asee
Bro naombeni mnieleweshe hapo maana note 7,nilipokuwa napiga picha nilikuta kwamba camera Moja ni nini??Chief-Mkwawa
Ni sawa mkuu. Ila kulingana na mleta mada sio kweli kwamba simu zenye dual camera basi moja imewekwa kama urembo labda angesema hazina quality iliyotegemewa.
Kuhusu hiyo ya triple camera then moja wameiwekea 320x240 hapo wamezingua
Unforgetable
Go and look for yourself
sasa mi nahisi no urembo tu lakini pale wameandika dual camera(13mp+13mp)Bro naombeni mnieleweshe hapo maana note 7,nilipokuwa napiga picha nilikuta kwamba camera Moja ni
Go and look for yourself
Ukiziba kamera ya chini ya juu ndo itafucnction kwenye mode zote(panorama,beauty,portrait,video,Ai)na ukiziba ya juu kamera ya chini haitaonyesha kwa mode zote