Kwenu wenye madaraka na mamlaka

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
You can jail everyone,you can detain everyone, you can harass everyone, you can silence everyone, you can hide everthing, you can manipulate each and everything including people, etc, but never the consequences of your actions.

Sometimes people might opt to be silent knowingly time gonna speak for them.
 
Maisha ya binadamu katika hii dunia ni mafupi mno! Ila wenye madaraka wanaona ndo washafika ahera tayari
 
Maisha ya binadamu katika hii dunia ni mafupi mno! Ila wenye madaraka wanaona ndo washafika ahera tayari
Wao wanaamini wataishi milele....

Wao wanaamini makaburi yameundiwa wananchi wao wanaowatawala na hayajaumbwa kwa ajili yao watukufu watawala!

Halafu mtu wa design hiyo anadiriki kukufuru kwa kuwaomba wananchi hao hao anaowanyanyasa eti wamuombee kwa Mungu!
 
You can jail everyone,you can detain everyone, you can harass everyone, you can silence everyone, you can hide everthing, you can manipulate each and everything icnluding people, etc, but never the consequences of your actions.
Umeitoa kwa Mange hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom