Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

Kanza hongera kwa kuwaza kununua Probox.kama nin mtu wa miradi hutajuta kwasababu nyuma ina nafasi ya kutosha kama pickup pindi unapokunja viti.Ina ulaji mzuri wa mafuta kama IST kwani hazipishani ukubwa wa engine.Ikiwa na mzigo utaipenda inavyokamata barabara.Spea zipo za kutosha na kwa bei nafuu.kifupi Ni gari nzuri kwa mtafutaji
 
shukrani sana Mkuu kwa ufafanuzi murua kabisa,nataka nije kuzeeka nayo.
vipo (rough road) barabara zenye tope

Na pia huwa zina 4wheel?
 
Probox kalivyo kadogo kuosha unachanganya na vyombo!

Halafu kubadili tairi unafanya kunyanyua na mkono mmoja unapachika tairi, unapoendesha vile kibini ilivyo fupi ukiwa mrefu sana inabidi upinde shingo au utoe kichwa nje ili kisiguse kibin,

Kiufupi probox haina stress ingawa taili na rim zake ni nyembamba sana kama za spea taili!
NI GARI NZURI ACTUALLY
 

Probox ni kama ina chumba na sebule sio kwa urefu ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…