Kwenu waoaji 2021

Hapana mkuu!! sio manesi wote!! Wapo manesi wanao jitambua!! Huyo kakengeuka tu na urimbukeni wake!!

Halafu inabidi jamii tubadirike!! hii tabia ya kukosewa na mtu wa kada, furani ukanumlisha wote sio sawa!!

Mara utasikia wanawake wa siku hizi sio waaminifu!! Mara wanaume wa siku hizi sio waaminifu!!
Mimi nasema hivi! Waaminifu wapo! Na vicheche wapo! kazi ni kwetu waoaji na waolewaji! jinsi ya kumpata
Mwenza mwanifu!!
 
Mkuu Kama Ni kweli uliyoandika Pole Sana Mungu akupe nguvu na awasimamie Hao Malaika... Kiufupi nyakati Hizi Dunia ikielekea Ukingoni shetan anawatumia Sana Dada Mama Wake Mashangazi zetu kuvuruga Sana familia... Ni kuwaombea Sana kumbuka wanawake Ni dhaifu Sana Sana... Ndio Maana ukiangalia Maandiko Ni Kama vile tumeandikiwa wanaume.... Jiulize Kwa wakristo kwenye Biblia Kuna amri inasema usimtamani mke wa Jirani yako... Kwa Nini isiseme na wanawake wasitamani waume za Jirani zao??? Ni kwamba Mwanamke Hana nguvu za kukataa majaribu... Tena Kuna sehemu imeandikwa Yeye azinie ba Mwanamke Hana akili Kabisa... Afanya Jambo litakalo Muangamiza nafsi yake... Soo tusiwalaumu Sana Tumuachie Muumba ipo siku atajirudi na Maisha yataendelea...
 
Ndio hivyo!
Katika kuoa mi naona Kama kamali maana alivyobadilika sikutegemea kutokana na tuliyoyapitia. Ni mengi Sana mpaka unafikia kusema labda Kuna mtu niliwahi kumfanyia ubaya mungu ananilipa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Pole sana ndugu yangu!! Kisasi kizuri kwake, hakikisha unafanikiwa kumzidi yeye! Pambana iliufanikiwe zaidi yake!!
Siku hizi watu wengi sio waaminifu!!
Mi nilioa mutawa( sister) aliacha mpaka usister kwa ajili yangu!! Nami nikamuamini!! Lakini kilichotokea Mungu ndie anajua!!
 
Inawezekana maana nishashuhudia jamaa yangu yakimkuta hayo halafu Mwanamke hata kuomba samahani Hana na watoto kapeleka ukweni wote wawili na anaweza kukaa miezi hawasiliani nao... Na hebu fikiri amewazaa wote kwa operesheni.... Jamaa mwaka was tatu huu Ni Kama akili haijamkaa sawa amekua mtu was kucheza kamari Muda wote... Anaishi Kama panya haeleweki Tena ingawa amesoma na alikua na ndoto kubwa mno....shetani akishaona hapa Kuna kizuri basi atafanya mpaka mshangae
 
Kweli mkuu au kamchapa Beto..![emoji50]
 
Wewe acha bhana!! Mimi nilikuwa mtu wa kanisani kabisa!! Sizani kama kuna vyeo ambavyo sikupewa kanisani!! Na nilioa sister baada ya kuamua kuacha usister!! na sikuwahi kutoka nje toka nimuoe!! lakini kilichotokea Mungu ndie anajua!!
 
Mkuu usinitishe ukipata mwanamke mwenye akili ya maisha inatosha hayo mengine ni ya ziada soon nitaukimbia ukapera
 
kwa mambo hayo tutaingia ushemasi wengi
 
Namshukuru mkuu. Kuna kitu najifunza
 
Duu
 
Kuna ukweli wa anachozungumza jamaaa na wewe mkuu. Reputation za manesi especially vijana ni shida sana, wengi huwa ni victims wa madaktari wa kiume wanaoshinda nao kwenye shift za usiku. Halafu sijui kwanini huwa wana inferioty complex kwa madaktari!

Nimeona kuna bwege anajifanya mjuaji eti tatizo sio unesi wa huyo mwanamke! Watu hawajui tu, haya mambo yanaongelewa mno, na wanaume waliokuwa tayari kusikiliza walionywa sana. Kama umempenda nurse au daktari wa kike hakikisha unafanya uchunguzi wa kutosha! Utatushukuru hangover ya mapenzi ikiisha. Common sense mbele, mapenzi nyuma.
 
Ndio, sio wote. Lakini tafadhali someni comment yangu hapo juu. Kuwa mwangalifu na manesi na madaktari wa kike, wengi ni shida! Waoaji mtatushukuru! Penda lakini please, be rational.
 
Mkuu usinitishe ukipata mwanamke mwenye akili ya maisha inatosha hayo mengine ni ya ziada soon nitaukimbia ukapera
.....................Dogo nakuhakikishia,binuka inama jiviringishe yaani we piga sarakasi zooote unazozijua wewe ila kama mwanamke unaetaka kumuweka ndani ana moja wapo wa sifa zilizotajwa pale main post,kaa chini tumia hiko kichwa vizuri,na kinachowaumiza vijana wa kileo ni hii kitu so called “mwanamke mwenye akili ya maisha”,unaowa mwanamke aje kukusaidia maisha?nani amekudanganya?

Hii ni wide forum hatujuani so sina haja wala nia ya kukutisha we soma shuhuda za wenzako humu ukiweza kuelewa elewa kama hukuelewa leta ubishi wa kenge kukataa kuumia mpaka damu zimtoke masikioni uone utakavyopoteana.

Mwanamke akikubadilkia hapa boxer utavaa kichwani acha masihara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye wanawake warembo apo umebugu. Wanawake wenyesura ngumu ndyo wanaoongozwa kutongozwa kwa utafiti. Hii ni kwasababu kila aina ya mtu statongoza. Ila mwanamke mrembo wanaume huwa tunawagwaya na wengi hulalamika kutotongozwa.
 
Wewe acha bhana!! Mimi nilikuwa mtu wa kanisani kabisa!! Sizani kama kuna vyeo ambavyo sikupewa kanisani!! Na nilioa sister baada ya kuamua kuacha usister!! na sikuwahi kutoka nje toka nimuoe!! lakini kilichotokea Mungu ndie anajua!!
😂😂😂 toka umuoe haukuwa kutoka nje ila kabla ya kumuoa ulikuwa unapiga tu wengine fresh , sasa hauoni kuwa umeoa wa kuendana na wewe?

Yeye mwenyewe unakuta alikuwa anaficha mambo yake tu , sasa ndo ukaja kuona hadharani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] toka umuoe haukuwa kutoka nje ila kabla ya kumuoa ulikuwa unapiga tu wengine fresh , sasa hauoni kuwa umeoa wa kuendana na wewe?

Yeye mwenyewe unakuta alikuwa anaficha mambo yake tu , sasa ndo ukaja kuona hadharani.
Ingawa nilikuwa napiga!! lakini sikuwa mchafuzi sana!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] toka umuoe haukuwa kutoka nje ila kabla ya kumuoa ulikuwa unapiga tu wengine fresh , sasa hauoni kuwa umeoa wa kuendana na wewe?

Yeye mwenyewe unakuta alikuwa anaficha mambo yake tu , sasa ndo ukaja kuona hadharani.
Tufanye yameisha mkuu!! maana hakuna tunachoweza badirisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…