grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,662
Keshavuka denial saivi yupo kwenye anger bado stage kama tatu hivi.I agree. Tatizo sio nurse. Tatizo ni mwanamke aliyempata.
Mimi nadhani mwamba sio mnyonge. Anapitia phase ya grief tu. He'll come to terms na ata move on.
Umechelewa Sana kujufunza bruh, sema unanikamilishia utafit wanguAsante!
Nimeumia kiukweli!
Sio kwamba ni mnyonge Ila hili tukio naona litaniacha na mtazamo tofauti Sana na Hawa wanawakeumeu.
Samtimz naona nisioe Tena kwa usalama wangu maana unaweza kuishia gerezani tu!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Mkuu nionavyo unapitia stage za majonzi (grief) ukizimaliza utajioma mpya zipo tano tu.Upofu wa mapenzi 75%
Naumia kwa sababu nilimpenda kweli huyu mwanamke
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Pole broKiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Fanya hivi owa kwanza, ndipo uje ufundishe watu kuchagua mke, sawaaa..[emoji16]
Kiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Kuna siku nilijiuliza Yesu aliwezaje kuishi na Yuda Eskarioti kwa muda wote ulePole sana Mkuu ndiyo maisha japo usaliti unaumiza sana
Syo nesi tu mimi niachiwa watoto 2 miaka mi 3 ilyopita lakini , maisha yanaendelea , ndgu wewe songa mbele huyo ana papuchi mwache aende zake, ila ipo siku atarudi kukupigia gotiKiukweli nimemfukuza mke wangu Kama miezi miwili iliyopita kutokana na tabia ya kuchepuka.
Nesi siyo mwanamke wa kuoa.
Nimereview miaka yote 10 ya ndoa nimegundua Hawa watu husahau haraka Sana kuliko hata simu inapodelete picha au meseji!
Tena anatangazia umma kuwa Mimi na yeye hatuendani sababu tu kapata hawala mwanajeshi ananizidi kipato!
Hakuangalia familia ya watoto wawili tuliowapata kwa kusafiri zaid ya KM 900 kwenda muhimbili kulazwa zaid ya Mara 4.
Ameachisha mtoto wa miezi 8 kunnyonya maziwa ya mama na kumpeleka kwa bibi yake na kumnywesha maziwa ya makopo ili tu asimbuguzi anapoliwa na huyo mwanajeshi.
Nimepoteza zaid ya 7.5kg kwa hili tukio.
Nasema ni heri ya mbwa ana shukurani kwa bwana wake anayempa chakula akimuona anatikisa mkia kuliko Hawa MANESI!
Kama umeoa nesi Kila la heri.
Sijaona wanawake wapumbavu Kama kada hii!
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
..'hili nalo litapita'..Upofu wa mapenzi 75%
Naumia kwa sababu nilimpenda kweli huyu mwanamke
Mi ni mtu mzima. NaelewaZa kuambiwa changanya na zako
Tatizo ni nesi,nina ushuhuda mdogo angu aliowa nesi mbwa yule anadanganya ana shift ya usiku anaenda kukesha bar na gesti,dogo amekaa mpaka jela kwa ajili yake.Duuuuuude!!! Tatizo sio kuoa NESI.....ni kuoa mwanamke uliyemuoa.
Man up!!!Maaana inaonekana kabisa anakuchukulia poa sana. Yani umejiweka kinyonge mpaka mwenyewe unaniboa. MAN UP!!!
Nawe jifunze kuandika au rudi shule. MALIPO HAPAHAPAJifunze kwanza kunadika bandiko ...JF
Kisha tafuta anaekufaa MUOE