Kwenu waoaji 2021

Mkuu hii ulitakiwa uifungulie uzi wake haipaswi kua comment

 
Maisha ndivyo yalivyo.....
Wakati mwingine unavyodhani wewe sivyo. To be honest....and I am sorry to say this ila sidhani kama huyo mkeo aliwahi kukupenda. Sio kwakukuvunjia heshima kwa kiwango hicho.

Pili....anaonekana ni mbinafsi sana!!!Like seriously mama gani ana-prioritise mapenzi ya nje juu ya mwanae mwenyewe wa kumzaa???
Mwenzio hata hakukupa nafasi ya kumjua kiukweli...au labda ulikuwa blinded by love ukashindwa kung'amua mapema the kinda person she is???

All in all...ili kuepuka yale ya gunia la mkaa, kaa chini utafakari nini haswa unataka kwenye haya maisha.Kama amani ni mojawapo (on top of your lost actually) then fanya maamuzi magumu uanze upya. Haya maisha ni magumi sana kung'ang'ana na watu/vitu vinavyokunyima furaha na amani.
 
Mkuu hii ulitakiwa uifungulie uzi wake haipaswi kua comment
Ni stress tu!
Sikuwah kufikir kufungulia uzi!
Ila tu nimeona niweke hapa Kama tahadhari kwa wanaotaka kuoa 2021.
Hawa watu wanatabia ya kutake advantage ya ratiba zao za kazin!
Amini most of them sio waaminifu.
Sio kwa mke wangu tu.
Nina mifano mingi tu nje ya mke wangu na ndio maana Nimewahighliht Hawa MANESI
Asije sema mtu hakuambiwa endapo yatamkuta

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
I agree. Tatizo sio nurse. Tatizo ni mwanamke aliyempata.

Mimi nadhani mwamba sio mnyonge. Anapitia phase ya grief tu. He'll come to terms na ata move on.
Hopefully 🤞🏾🤞🏾

I hope he can manage to do that soon!!For both their sake.....
 
Upofu wa mapenzi 75%
Naumia kwa sababu nilimpenda kweli huyu mwanamke

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Natamani bwana yule ampate mwannamke kama huyu
 
Ni kweli!
Sikupenda yatokee haya kulelewa na watu baki!
Nikiona vipi Kama mahakama ikiniruhusu ntawachukua niwalee mwenyewe hata kwa ugumu maana bado wadogo sana

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Ila mkeo ana moyo wake kumpeleka mtoto kwa bibi ilihali yeye yupo hata kama ni kazi si bora kuwa na msaidizi nyumbani?

Pamoja na mapito yooote ila wanangu sijawahi kuwaweka pembeni
 
Ila mkeo ana moyo wake kumpeleka mtoto kwa bibi ilihali yeye yupo hata kama ni kazi si bora kuwa na msaidizi nyumbani?

Pamoja na mapito yooote ila wanangu sijawahi kuwaweka pembeni
Yaani nikiwaza Sana huwa naanza kuwaamini wanaodai money and women are source of evil

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kifupi anytime mtu mwanamke usimuwekee dhamana moyoni ,binafsi huwezi kuta najimwambafy na mwanamke kwa watu utakuja kuumbuka na nimeona wengi wakiumbuka
Ogopa Sana kiumbe asiyekuwa na fadhila ,hao ndugu wanaamini ile kumtomba basi mushamalizana
 
Binafsi nina misimamo yangu tofauti Sana kwenye jamii,kwangu ndoa siitafsiri kwa kwenda kufunga sijui kanisan or else where ,to me ndoa ni kuishi na kuzaa ,,na sina kitu inaitwa mtoto wa nje, mtoto nitakayezaa kokote ni mtoto kama wengine tofauti yao ni wamama
 
Ninaamini kila mtu anao mtu aliye kwenye mzunguko wa maisha yako ,yaani kama wewe ni mtu wa bata basi hata mke wako utampatia kwenye bata trust me, na mungu pia anakupatia wa kuendana na wewe .

Hauwezi niambia mzinifu akaoa binti mcha mungu aliyetulia , na aliyekinai mambo ya kidunia, always mtakayeoana naye ana reflect tabia yako iliyo jificha au ambayo ipo wazi.
 
Pole sana mkuu, hayo ni mapito tu uzuri umeweza kulisimamia hilo suala vizuri bila kutumia njia ambayo ingekuletea majuto hapo badaye , hii inaonesha jinsi gani una hekima .

Japo inauma ila ulichokiongea kina ukweli kwa asilimia fulani,ila sidhani kama ni wote wapo hivyo ila asilimia kubwa ndiyo wana hizo tabia .

Cha kufanya hebu tulia kwanza mpaka utakapokuwa sawa kabla ya kufanya maamuzi sahihi hii itakuwa nzuri kwako kiafya pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…