MulRZGM
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 1,015
- 748
Habarin za asubuh members jf?
Wanawake samahan kam ntakua nawaboa ila ni ktk hali ya kutaka kufaham then tunarekebshana mana uwanja huu c mahali pa kuburudka pekee... bali kufunzana pia!
Iko iv, ni kwel wanawake/wasichana huwa mnajisahau kbsa pind muwapo kwenye mahusiano n wanaume ... n kupelekea muanze kuchepuka?
Mnakua mnajisahau kivipi mfano? Na ni yapi ktk mahusiano uwa mnayasahau mpk mnaanza kuchepuka?
Mana utakuta umu jf kuna uzi umetolewa kwa mfano... unazngumzia isue ya MWANAMKE KUCHEPUKA... Then ktk post za watu haswa nyiny wanawake utakuta mnasema kwamba uwa mnajisahau thus kuchepuka kunatokea tu....
Iyo "KUJISAHAU" kwenu ipo vp nyny binadamu jinsia ke?
Na ni kweli uwa mnajisahau au bs tu mnatakaga kutukomoa jinsia me?
Na uo udhaifu ni kweli mnao kulingana n asili yenu jnc mlivyo? au ni tabia yenu n mmeshaiendekeza?
Naweka