Namba ya Pastor Winnie ndio hii?Pst Winnie Kilemo
0769 141105
Ya mtotoMimi sijasoma...maneno mengi mno, mwenye summary ya sentesi moja aniambie
Ogopa hii isikukute,Yaani unakuta baba hagusi kitu maana akitaka kunywa juice anaambiwa hiyo usiguse ni ya mtoto,mayai ni ya mtoto.Yeye anapikiwa ugali maharage na majani ya kunde chukuchuku.Chai anapewa chai ya rangi na kiporo.Sikia nikwambie hao watoto wanakua,wataenda shule baadaye watawaacha kila mtu ataenda kuanzisha maisha yake ,hawataishi na ninyi milele.Sasa siku wakiwaacha ninyi wawili tu kwenye uzee wenu ndo utajua umuhimu wa kumjali mwenzako.
Instinct ina mtesa pastor, amesahau na yy ni mwanamke!Juu pale mwanzo alishame wanaume tunataka point na sio maelezo mengi, automatically nikaona nikisoma yote nitajiondoa katika kundi hilo[emoji28]
Aliyesoma atupe maelezo kwa ufupi
Sisi wanawake tumeumbwa kuongea sana, muwe mnatusikiliza tusiongee wenyewe.Mimi sijasoma...maneno mengi mno, mwenye summary ya sentesi moja aniambie
Mimi simpendi mwanamke anaeongea sanaSisi wanawake tumeumbwa kuongea sana, muwe mnatusikiliza tusiongee wenyewe.
Ni matumaini yangu haijazidi sentesi moja.
Ni mbili, lakini Asante sana😍Sisi wanawake tumeumbwa kuongea sana, muwe mnatusikiliza tusiongee wenyewe.
Ni matumaini yangu haijazidi sentesi moja.