Kwenu wanaume wenzangu wooote!!

Oooh mtoa mada. Unanifanya nikose nguvu hata ya kubonyeza kiibod. Akili inarewind mabalaa yalopita huko nyuma mpaka nasema mtoa mada aliniona nini?
Ila lawama ni kwao hao washka mimba. Inakuaje unajiaminisha kupindukia mpaka unajitoa muhanga wa kuishika hiyo kitu?
Aaaah! inaniumaaaaaaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…