mama la mama
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 304
- 152
noted ..............
Mmmmmmmmmmmh! IT WAS GOING WELL UNTIL ULIPO DISCLOSE THE END YA KUFANYA YOTE HAYO NI ILI UOLEWE!!!!!!!!! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee!
Pardo me in advance beacause MY HUMOR HAS NO SENSE AT ALL lakini WHY SHOULD YOU DO ANYTHING ILI UOLEWE? Shouldnt it come NATURAL?
noted ..............
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima,
sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea
Hizo kauli zako mbona zinakinzana?sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Eiyer umeanza hapo sasa usichokielewa nini ha ha ha haaaaHizo kauli zako mbona zinakinzana?
Huyo huyo atikise wanaume
Huyo huyo achezewe na wanaume kama yeye
Huyu huyo anataka kuhudumiwa na wanaume gani?
Simaanishi nafanya au nashaur mfanye ili kuolewa lakun kumbuka hata uwe n mali kiasi gani, uwe n kioa unachokihitaj at da end of da day utatakiwa kua n mumeo,, sasa unazan unavojirahisi ivo kila mwanaume anakupitia utapata mtu wa kuendana n ww wa kukuweka ndani?? Me nimeshauri wadada tujiheshmu kwa kutolea mfano wa kua n wakaka wa kila aina ila sijasema hujieshmu ili upate ndoa
Waambie mama la mama maana wengine wamebakia kuringa kwa ajiliya maumbile yenye mvuto ila kama utamfanya kuwa mke hana cha kuchangia kuongeza kipato cha familia zaidi ya sura na umbo lake zuri, maana wengine shule hawajajaliwa, hana mradi wowote zidi ya kuwa tegemezi.
Hizo kauli zako mbona zinakinzana?
Huyo huyo atikise wanaume
Huyo huyo achezewe na wanaume kama yeye
Huyu huyo anataka kuhudumiwa na wanaume gani?
Huwa nawaambiea washkaji zangu kwa uzoefu wangu siku hizi...unaweza kuona mwanamke mzuri...kajaza vizur....umbo zuri9(hips safii)..boobs si mchezo..lakini ukikaa nae dk tano tu...ukicheki uelewa wa mambo na attitude una kuta HAMNA kitu.....very poor...ndo tatizo naloona siku hizi....ukikaa ukiongea nae unakuta bure kabisa....
CURIOSITY KILLED THE CAT! Mada inasema madada wenzangu HOW DID YOU PEEP kuona tunaongelea nini? I LIKE WHERE YOU ARE GOING WITH THE DEBATE!!!!!!!!!!
....upeo naomaanisha sio wa kujua vitu...yaani upeo wa maisha....mama zetu walikua na upeo mzuri wa maisha( japo nyakati zimebadilika)....yaani unaweza kukutana na mtu...yeye anachukulia maisha kirahisi rahisi tu....kichwani kajaza kuhongwa hongwa tu....kutongozwa tongozwa tu....(sijui nikueleweshe vipi).....lakini ndo type hizo...yaani maisha HALISI anayaangalia kwa mtazamo tofauti sana....mpaka unabaki unasikitika...kuna wengine ukiwaambia unamfungua akili...kuna wengine ujuajii mwingi...wa maisha ya kujifunza facebook, nstagram na jf....Mmmh mbona wazee with walioa mama zetu hata kusoma hawajui na wakaraise family fresh! Kama unaona hana upeo msaidie just muexpose kwenye ulimwengu unaoutaka
Mimi huwa nawashauri wakina dada...kama kuna kitu wangefanya kwa maisha yao...ni kuipa thamani kubwa PAPUCHI zao...sema wengi wanaziachia mno....wanajirahisiha sana...sana yaani.....Simaanishi nafanya au nashaur mfanye ili kuolewa lakun kumbuka hata uwe n mali kiasi gani, uwe n kioa unachokihitaj at da end of da day utatakiwa kua n mumeo,, sasa unazan unavojirahisi ivo kila mwanaume anakupitia utapata mtu wa kuendana n ww wa kukuweka ndani?? Me nimeshauri wadada tujiheshmu kwa kutolea mfano wa kua n wakaka wa kila aina ila sijasema hujieshmu ili upate ndoa