David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,120
- 6,785
Juzi nimempoteza ndugu yangu tena kizembe kabisa ni kwa vile sikuwepo,Competent doctors wote mmeondoka hospital imeshikiliwa na intern doctors! Hospital ya rufaa inashikiliwa na interns mko serious kweli???
Kuna mtu niliwahi kumsikia kuwa temeke hospital ni kijiwe cha interns kweli nimeamini.
Mnachezea sana afya na uhai wa watanzania,nimesoma aberdeen university school of medicine scotland, yaani medical student au interns hauna mamlaka yoyote kumshika mgonjwa pasipo msimamizi wako lakini uku tanzania medical student ndio kila kitu ,canulation inamshinda halafu yupo emergency dep peke yao..
Imeniuma sana kumpoteza dogo.mimi sio muandishi mzuri ila temeke ujinga mwingi sana nimefika nawauliza maswali madogo sana kujibu hawawezi wanabaki kubabaika halafu wameachiwa kitengo cha dharula.