Kwenu Tena Wataalam Wa Hesabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenu Tena Wataalam Wa Hesabu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Asprin, Sep 7, 2009.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,756
  Trophy Points: 280
  A mother is 21 years older than the child.
  6 years from now the mother will be 5 times as old as the child.

  Question : Where's the father?
  Try first, before you check the answer below.

  *  *  *  *  *  *  *  *  *  *  *  Solution:
  The mother is 21 years older than the child. Let the mother be M and the Child be C
  M = C + 21
  In 6 years from now the mum will be 5 times as old as the child.
  M + 6 = (C + 6) x 5

  Hence,
  C + 21 + 6 = (C + 6) x 5
  C + 27 = 5C + 30
  -3 = 4C
  C = -3/4


  The child is -3/4 years old, that is, it'll be born in 9 months.  Thus.. by mathematical deduction....
  Right now, the father is on top of the mother... hahahahahaha!!! Got You?

  Kama kawaida, wasiojua hesabu watabisha na wengine watabaki wametoa mimacho.

  Good Day my fellow mathematicians!
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  what does it mean? on top mean older or what
   
 3. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mtoto ndio anatafutwa!
   
 4. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  by the way no negative age
   
 5. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wewe unajifunza hesabu?ulitakiwa uanze na 'kitendawili/ tuseme tega au fumbo mfumbue mjinga......but thts not maths kabisa,tukirudi shule labda,au ndo maths za miaka hii?
   
 6. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,083
  Likes Received: 1,730
  Trophy Points: 280
  Mimba itatunga miezi 9 ijayo; assuming
  @
  *
  *
  %
  &
   
 7. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  This is not mathematics !! Kama ungetaka iwe katika mathematics, usingeishia kusema tu that the child WILL be born in 9 months, bali ungehusisha na expressions/equations za probability zinazoonyesha uwezekano wa mama kupewa ujauzito katika mwezi wa mwanzo kuhesabiwa. Wakati mwingine mimba huwa haipatikani kwa sababu ya matatizo ya mama, baba au wote wawili. Zote hizo zinahitaji factors za probability. Mathematics is not such simple.
   
 8. S

  Sumuni Member

  #8
  Sep 7, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hesabu yako inanitatiza kidogo, ninaona kuna kitu cha muhimu ulikiacha katika kujaribu kutengeneza swali. Maelezo kuwa "Miaka sita kutoka sasa, mama atakuwa mara tano zaidi ya umri wa mtoto" haifafanui umri upi wa mtoto unaokuwa refered to. Je umri wa mtoto miaka sita ijayo au umri wa mtoto wa sasa. Kama ni wa sasa, na kwa mujibu wa solution yako ya -3/4yrs becomes invalid. Kwa kifupi kama wengi walivyosema, haijakaa kihesabu zaidi ya ki-joki. Nafikiri ni kuwajoki unaofikiri hawajui hesabu, labda.
   
Loading...