Sheria za ushindani zikoje, maana naona Vodacom na Tigo wanapandisha kwa gharama za bundle kwa gharama ile ile. Je wanakaa chini na kushauriana jinsi ya kumshughulikia mlaji? Je siku wakiamua gharama ya 1GB ya internet iwe 10000 nani atawazuia maana gharama za bundle 1GB ni 2000 kwa sasa na hakuna aliyesema kitu.
Je serikali haina kitu cha kufanya katika kucontrol bei?
Inaruhusiwa kampuni kubwa kukaa na kupanga bei moja kubwa ili mlaji asikimbie popote?
Je serikali haina kitu cha kufanya katika kucontrol bei?
Inaruhusiwa kampuni kubwa kukaa na kupanga bei moja kubwa ili mlaji asikimbie popote?