Kwenu nyie madereva wa bodaboda

Kwenu nyie madereva wa bodaboda

Kuna mmoja yupo rough, ile nafika tu kwenye kijiwe chao akawasha ananiwahi akashangaa nimemuacha nikaenda kuchagua ya mwenzake. Nadhani alipata funzo
Bila kumwambia sidhani kama atakuelewa na pia ukimwbia sidhani kama mtaelewana. Bora kukaa kimya.

Kuendesha chombo cha moto huku dereva kavaa ndala ni hatari
 
Kazi ngumu kweli kweli hulipwi mpaka upumuliwe kisogoni.
 
Any way "mwendo wa buku unajulikana"
 
Boda boda ukizingatia namba 3 hayo mengine namba 1 na 2 yana ji recover yenyewe
 
Back
Top Bottom