Kwenu ni wapi??

Mbagala.... Mi nishalipia kila kitu halafu vingine niviache nooooo.... Kama kweli mnadhani kubakisha ndo kunataja maeneno mnakoishi... BASI LIPIENI HALAFU MUONDOKE BILA KULA MLICHOLIPIA
 
TMK hakuna kusaza
Ukisaza ina maana wewe una tamaa na unachukuwa usivyoweza kuvimaliza. Ndo hao kwenye sherehe utakuwa kajaza sahani hadi juu halafu anakula kiduchu na kuacha... Sio ustaarabu... chukuwa unachoweza kukimaliza
 
sa nibakize ili iweje?kwetu twamaliza hadi kucha...nini mfupa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…