Kwenu ma programmers

Mafua ya kuku

Member
May 31, 2019
92
76
Mambo vipi,

Mimi ni completely biginner, nataka nianze kula misuli ya online na YouTube kuhusu python.

Target yangu ni Data science.. Tatizo linakuja nitaanzaje na nitamalizaje, ili ni full competent.
IMG_5231.JPG

Karibu
 
Education background yako ikoje, ulisha soma course yoyote ya computer?.
Nenda Udemy nunua full course ya python for beginners soma hiyo ukisha ielewa vizuri fanya practice na fanya projects hata tatu kabla ya ku move. Vilevile join communities kama stack overflow etc. Then move to another course ambayo ni more specific Kama deep learning, data science etc
 
Kaka sina background ya ICT, ila passion na hayo mambo
 
>>import this
result:
The Zen python...

software discipline is about passion and effort. Learn once, practice, practice, practice....

Advice.
There is python 2 (v2.7) and python 3(v3.5)...go for python 3, many new features, libraries, modules are implemented to be compatible with newer python version, python 3, python 2 is losing support and kinda obsolete. Whatever the site you visit offers two pythons, take that.

No formula to learn to code, it is recommended that you have to learn by doing(practising).
 
Going Heavy on coding ni chioce nzuri ila remember coding ni njia tu ya ku communicate na computer ila kuna understanding the problem na pia kuna how to fix it ipi ina rely kwenye hesabu, mostly statistics na pia a common interest either ni matatizo ya medical au business ukikosa moja unaweza kuwa a
Software Developer
Statistician
Business Analyst
 
import this...the Zen python, wow

Thanks very much broh for your gorgeous advices,
 
Going Heavy on coding ni chioce nzuri ila remember coding ni njia tu ya ku communicate na computer ila kuna understanding the problem na pia kuna how to fix it ipi ina rely kwenye hesabu, mostly statistics na pia a common interest either ni matatizo ya medical au business ukikosa moja unaweza kuwa a
Software Developer
Statistician
Business Analyst

Am very interested with the last one , Business Analysts.

Naomba unipe guide ya kusoma ili niwe full stack python programmer hasa kwenye hiyo Data science
 
Nenda yotube search html & css angalia tutorial yenye viewer wengi anza nayo.
mtililiko upo hivi kwa web development.
HTML & CSS
BOOTSTRAP(OPTIONAL)
JAVASCRIPT(OPTIONAL)
PYTHON -DJANGO (django ni frame work ya python)
 
Kwanza Mtoa mada anataka kufanya nini.
Mm nadhan aseme yeye anataka nini then aambiwe asome nini cha kuweza tatua changamoto gani.
Ila kama unasoma tu for fun.
Soma ila hutaelewa kwa haraka. Kwasababu utakosa Focus na discipline.

Ila kama una Focus ni rahisi kwenda haraka.

Mfano mtu anataka awe blogger. Hana haja ya kujifunza mobile app programing. Nk

Mm sio mtaalam ila naona hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom