Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!
Choo chenu kiko wapi? master bedroom? Kwanza wewe ni mwongo, kama hujawahi kumuona inakuwaje umejua mnakwenda kwa timing? Haja kubwa ni sehemu muhimu sana katika afya ya mwanadamu. Kama unakula kwa nini usiende choo? Mnachofanya ni utoto. Kwa hiyo kama umebanwa na yeye yuko around kwa hiyo inajibana muda wote? Kiafya kubana choo ni hatari!
Hiyo inaitwa call of nature, iachieni nature ichukue mkondo wake? Kuanzia leo wote mjue wakati mmoja wenu anenda haja - kubwa au ndogo. Mwambie - naenda kutumia choo, na baada ya muda mtazoea.