Kwenda toilet kwa wanandoa

Kwenda toilet kwa wanandoa

Kuna kitu inaitwa faragha;

Hata siku mkichepuka kidogo kwenda mpango wa kando
kila mtu ni siri yake pia.
 
Naam ukiwa na akili ya kushikiwa hustahili kabisa kuwemo ndani ya ndoa.

Ndoa imara zinajengwa na wanandoa wenye akili timamu...sasa hapa kuna haja ya kuuliza kama zinakutosha???????? What the hell is this.
 
vp mnatumia cho cha kukalia au kuchuchuma?

mnatumia maji au toilet paper au vyote kwa pamoja?

vp huwa magumu au malaini?

hivi huwa gogo linambatana na ushuzi au?

huwa yananuka sana au yananuka wastani?


fuata ushauri wa Mwanamalundi , uwe unachangia za wenzako kama huna cha maana............
 
Last edited by a moderator:
eh!
kwani nayo hiyo ni issue?
ahahahhahahhhhah itabidi niolewe upya asee itakuwa bado nipo single!
kha! King'asti njoo ujibu swali hili
we na Paw nani anaanza?

Yaani bora hata umemuuliza!
Jamani hata kwenda toilet Bwn dnmwami nako mpaka tuagane au tujadili? Kuna kitu gani huko cha kufurahisha mpaka umuage mtu? Kuaga au kutokuaga wakati wa kwenda toilet kuna msaada gani kwa wanandoa? Hivi mtu asipojua au akijua kwamba unaenda toilet anafaidika na nini? Kazi kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habari
Nisaidieni kwa hili mana mimi na wife naona tunaenda toilet(kubwa) kwa timing sana na hakuna aliewai kumuuliza mwezie! (siwezi kwenda ananiona like sijawai kumuona akienda!) ni kawaida au kuna tatizo apo!

Acheni utoto nyie!!!
 
hahahaaa au unaenda ku 'PUU'

kuna mwingine aliuliza eti
Hivi we Mpenzi wangu mbona hujawahi jamba mbele yangu hata siku moja,hivi kama unanificha jambo dogo kama hili amabalo najua unalifanya kila siku,je ni mambo mangapi ambayo siyajui unanificha.
so weird
 
Mwana MMU, kama kukata gogo ingekuwa Tamthilia, sasa hivi ungekuwa sehemu ya ngapi?
 
Back
Top Bottom