joe peters
Member
- Dec 16, 2010
- 85
- 18
mkuu hapo wanasema inatakiwa utii bila shuruti!!
International Organisation nyingi mbona kesho wapo kazini kama kawaida, sie wa serekali ndio tunalala.
Bora hata wewe Wengine hata Likizo tunazisikia kwa wananchi wengineNdugu zangu habarini za asubuhi, mm nafanya kazi kampuni binafsi leo nilipoingia kibaruani mkuu wa idara akasimama na kutangaza kesho ni siku ya kazi kama kawaida, naombeni kuuliza je ni halali kwenda kazini wakati ni sikukuu ya kitaifa. naombeni ushauri wenu wajuzi wa hili
Hivi ukiumwa siku ya sikuu ya kitaifa utatibiwa na nani? Yapo hata makampuni ya Umma watu inabidi wananye kazi siku za sikukuu...Ndugu zangu habarini za asubuhi, mm nafanya kazi kampuni binafsi leo nilipoingia kibaruani mkuu wa idara akasimama na kutangaza kesho ni siku ya kazi kama kawaida, naombeni kuuliza je ni halali kwenda kazini wakati ni sikukuu ya kitaifa. naombeni ushauri wenu wajuzi wa hili
Kwanza umetumia muda wako wa kazi vibaya, wakati wa kazi unapost humu, kesho nenda kazini ufidie uzembe unaoufanya kila siku maana nchi haijengwi hivyo
hata avator yako inaonyesha hii kitu inakukera sana. pole ndugu yangunenda pale docs/ bandarini utakuta wanapiga kazi na sheria ya ajira na mahusiano kazini 2004 haikatazi kupiga kazi siku za sikuuu,bali inaeleza lazima iwepo bonus ya mshiko mara mbili ya malipo ya siku ya kawaida kama unalipwa buku 3 kwa siku za sikuu na mapunziko unatakiwa ulipwe buku 6. upo hapo? hivyo we nenda kazini kijana acha uvivu,sikuu nyingine kama hz ni za kijinga,we muungano unakusaidia nini ikiw ukinunua kitu zenji unakuja kukilipia ushuru bandarini?
Ndugu zangu habarini za asubuhi, mm nafanya kazi kampuni binafsi leo nilipoingia kibaruani mkuu wa idara akasimama na kutangaza kesho ni siku ya kazi kama kawaida, naombeni kuuliza je ni halali kwenda kazini wakati ni sikukuu ya kitaifa. naombeni ushauri wenu wajuzi wa hili
hata avator yako inaonyesha hii kitu inakukera sana. pole ndugu yangu
hata avator yako inaonyesha hii kitu inakukera sana. pole ndugu yangu