Kwenda jeshi kwa form 6 mwaka huu

Kwenda jeshi kwa form 6 mwaka huu

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,297
Reaction score
1,861
Wakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jkt kwa form 6 baada ya kumaliza miezi mi3 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata div. three huendi kuchukua degree chuo kikuu.naomba kuwasilisha
 
Wakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jwtz kwa form 6 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata three huendi kuchukua degree chuo kikuu.naomba kuwasilisha
subirini msiwe na papara jkt mtaenda tuu kujifunza uzalendo, tena majina yatatangazwa soon kabla ya NECTA mtajua kambi zenu mlizopangiwa.. mjiandae kisaikolojia kwakweli...

kuhusu div3 kutopokelewa chuo kikuu ni tetesi tu ambazo hazijathibitishwa bado, lakin hata hivyo posibility yake ni ndogo sana kwa wakati tuliopo. pigeni kitabu madogo..
 
haya ndio majibu yanayotakiwa hapa jf
 
haya ndio majibu yanayotakiwa hapa jf
pamoja sana mkuu.. gonga like apo twende sawa..
thanks.gif
 
"kurutaaaa mmeharibu kazi waziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?"
 
Kwa division three kupokelewa vyuo vikuu naona kama yaweza kuwa na kaukweli (japo inahitaji muda kuthibitisha hasa TCU).

Jamani huko vyuoni sasa hivi kuna wanafunzi wa ajabu sana sana. Hawajui hata kutunga sentensi ya kiingereza iliyokamilika!!!

Nadhani sasa ifike wakati TCU waanzishe Marticulation exams na wale watakaofaulu marticulation ndio wawekwe kwenye selection ya TCU.

Ni aibu aibu aibu. Hizo division three ndo zimejaa vyuoni na kupelekea hali hii.

Kwenda JKT yapaswa kuwa hivyo kwa kuwa inawajenga kiafya na kuwajengea utaifa.
 
Acheni uzushi wa hiyo mambo ya division three
 
Ni huo uvumi unao enea wa division three kutokusomea degree
 
Back
Top Bottom