Kweli zuma kidume cha mbegu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli zuma kidume cha mbegu!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 11, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  The president of south Africa ?


  This man is da bomb!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Number one
  Sizakele Khumalo - whom he met in 1959. She lives at his rural R1,5-million home at
  Nkandla in northern KwaZulu- Natal and they have no children.


  Ex-wife
  Foreign Affairs Minister Nkosazana Dlamini-Zuma - with whom he had four children -
  Msholozi, 24, Gugu, 22, Thuli, 21 and Thuthi, 19. They divorced in June 1998 due to
  "irreconcilable differences."


  Late wife
  Kate Zuma - with whom he had five children - Saady, 29, twins Duduzile and
  Duduzane both 25, Phumzile, 20 and Vusi. She committed suicide on December 8, 2000
  after apparent strained relations with Zuma.


  Still on honeymoon
  Nompumelelo Mantuli Zuma - whom he married in January. She has two children
  Thandiswe, 7 and eight month old Sinquobile.


  Waiting in the wings
  Thobeka Stacey Mabhija - with whom he has two children including a 5 month old
  baby


  Mrs Jacob Zuma number six?
  Bongi Ngema - from Umlazi, has a seven month old son


  Old flame
  Minah Shongwe - who is Zuma's old flame. Shongwe, the sister of Judge Jeremiah
  Shongwe has a 30 year old son, Edward with Zuma.


  Left at the altar
  Zuma also paid half lobolo for Swazi Princess Sebentile Dlamini, 38, the
  granddaughter of King Sobhuza III, in 2002 but nothing has come out of it.
  4 Marriages, 1 Half Lobola, 3 sleeping partners and 15 Children...????? Check the
  age differences between the children from different mothers, ya neh, UZuma wa
  sebenziza um'shini wakhe.!!!!!

  Hayi, lena ke inzima?..
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Huyu ni Mswati mwingine!

  Hivi anawezaje kuwahudumia wote hao wanawake at age of 67 Yrs?
   
 3. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Plus na yule girlfriend wake HIV positive confirmed. Ni vizuri kuzidumisha mila na desturi lakini kuwa ignorant na wakati huu wa Aids kwa kwenda mbele ni umbumbu wa kufa mtu. I hear this guy has never received any formal education? Nielimisheni ni kweli?
   
 4. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2009
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Zuma,
  Ni dume la nyani, hana mchezo kwenye utunda. Ukweli jamaa hajui kusoma wala kuandika yeye anajua kusaini tu. Jamaa ni clean saana ndo maana yule mhindi alimwingiza mjini lakini yeye ni mtu safi saana. Ila kwa chini usijemwacha na mkeo si umeona anavyoruka kwenye ngoma za kizuru? yuko fit saana
   
 5. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Huyu atakuwa anatumia ''mikuyati'' si bure nguvu gani hizo !!!! Au laa watoto wa kusingiziwa, anasaidiwa na vijana
   
 6. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  mwanaume hazeeki!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  kulaleki walahi.....hivi huyu kweli anawatosheleza hawa au wanamchuna tu?
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  May 12, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,596
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Ni kumwomba Mungu, hii tabia typical ya kiafrika, babu zetu walikuwa na wake zaidi ya wanne! na leo hii watu wanafanya siri nyumba ndogo nyiiiiiiiiiiiiiiingi! heri huyu mambo yake yanajulikana!

  lets examine ourself!
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  May 12, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,596
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  supported;

  huyo mmoja tu na misukosuko hii ya recession,pressure za maisha, u-bize mpaka unasahau kula! inakuwa kazi eti, then wawili, watatu, wanne, watano...........duh,

  hata Sungura hana uwezo huo!
   
 10. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kidume cha mbegu,hongera zake!
   
 11. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dini zetu zituruhusu kuhalalisha nyumba ndogo zetu uone kama hazitazidi hata huyo jamaa,mi ninaishi karibu na nyumba moja ya wageni kuna mkubwa mmoja wa shirika moja, huwa kila wiki anaingia pale mara nne na kuna wakati mwingine anarudia,sasa huyo si zaidi ya zuma?
   
 12. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2014
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  wanawake ni wengi sana na katika sensa ya 2010 ilikua kila mmwanaume mmoja na wanawake 9 dunia nzima sasa sijui kama huyu anatumia hizo data kujaribu kuziba pengo au vipi.Hata mtume aliliona hili ndio maana inaruhusiwa wanne kiheshima
   
Loading...