Kweli yaliyo mkuta boko na mamba yamemkuta

Kweli yaliyo mkuta boko na mamba yamemkuta

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,176
Reaction score
1,473
Yani kiujumla spain kapigwa 8-1 na ujeruman. Hakika w2 wa betting wamekula pesa sana ktk gem hizi mbili.
 
Na bado, watakula sana pesa kwenye 2nd leg maana mpira unadunda na hauna mwenyewe.
 
Back
Top Bottom