englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mtu na rafikie
Ukuta wa kioo umemzuia mfalme wa nyika. Huwezi dhania kuwa eti kwa sababu ni mtoto huyo simba anatapa huruma. Simba kama walivyo wanyama wengine wanaongozwa na silka sio hulka. Mtoto anabahati yupo upande wa pili wa huo ukuta wa kioo. Picha nzuri hatahivyo.:llama:
Lakini pia wanyama wengi ni walinzi wazuri wa wa mtoto na ni mara chache mno kukuta wamewadhuru watoto unakumbuka simba wa Tsavo Kenya na Serengeti Tanzania ?

Hata hivyo, huyo simba haonekani kuwa serious na huyo mtoto, ni kama anajaribu kumchokoza chokoza.
wakufugwa huyo