Kweli wayahudi wanatawala dunia, kila mtu muoga

Kweli wayahudi wanatawala dunia, kila mtu muoga

Yes because they are helping Israel intercept iranian missiles!! In no way he asked for military because they are all weak and can't mount any serious challenge against Israel or US.

But hey if you can't join me then stay off the way and not actually block the path to my opponent.
Kashamalizwa sasa
1773682258805.jpg
 
Yes washamalizwa wairan zaidi ya 1500 so it's not news ila the Ayatollah regime will not fall to dogs. Ndio maana Trump anaomba msaada kwa wazungu maana ngoma ishakua ngumu.

bila ya kupinduliwa kwa ayatola regime, haya yote yatakuwa ni kazi bure, after all said and done hiyo islamic regime haitakuwepo na haitosalia, mtoto wa ayatola kakimbilia russia, hii chance haitakuja kutokea tena its now or never.
down with the islamic regime!
….
 
Iran ipo chini ya IRGC ambalo ni lidude likubwa sana na limekua trained kwa kila province kujisimamia yenyewe na kupigana as an independent battalion without a central command.

Na hapo sijazungumzia jeshi la Iran ama Basij militia. Na hata hao wakiishiwa nguvu Houthi hawajarusha kombora hata moja maana wanasubiri kuwa back up huko mbeleni. Pamoja na PMZ ya Iraq!!

So Iran haiwezi dondoka wakati wowote ule tutakuja kukumbushana hizi post baada ya miezi kadhaa
 
hakuna kitu kama hicho, kama nazi germany iliangushwa na denazification ikafanyika na leo hii ujerumani ni normal, democratic, civilized and highly developed country ije kushindikana kwa hao underdeveloped primitive mullahs ambao hata technology yenyewe mpaka waombe?

nazis walikuwa technology leader number 1 duniani, hakuna aliyewafikia lkn waliangushwa ingawaje walikuwa mbele ya kila mtu tena by far kwenye kila fani kuanzia science, technology, medizine mpaka psychology na socialogy lkn bado waliangusha.

hao mullahs west wakikubaliana tu na kuongea kwa sauti moja kwa kufanya makubaliano na russia na pia china game over, russia will let them fall …
 
hakuna kitu kama hicho, kama nazi germany iliangushwa na denazification ikafanyika na leo hii ujerumani ni normal, democratic, civilized and highly developed country ije kushindikana kwa hao underdeveloped primitive mullahs ambao hata technology yenyewe mpaka waombe
Usikariri, NAZI Germany ni centralised ndio maana ukimaliza uongozi wa juu huku chini pana paralyse sasa nchi kama Iran zimeundwa ku survive uvamizi wa US ambao walijiandaa nao miaka zaidi ya 40. Hivyo ipo designed kuwa ikitokea uongozi wa juu umekufa wote basi kila jimbo lijiendeshe kivyake kama guerilla warfare hivyo kuicollapse itabidi uvamie kama Iraq na upigane miaka hata 10 ili uue mamilioni ndio uanze upya.

Mifano ni Afghanistan walipigwa kwa miaka zaidi ya 15 ila bado Marekani waliondolewa na Taliban hiyo hiyo ikarudi madarakani. That's how Iran is designed.

Na mifano ni mingi Vietnam, Korea, Cuba zote hizo haziku collapse licha ya kuvamiwa na nguvu kubwa ya marekani maana at least 30% ya wananchi wako radicalised so hata ukiondoa utawala wa Ayatollah watakokuja nao wataichukia USA kuliko hata Khamenei.
 
Back
Top Bottom