Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
hhaaa njoo unijaribu uwone.....
Nakuja.
Na nakufata piemo, sasa ole wako unittoe kama yule jamaa alietaka kunyonya kote kote!
hhaaa njoo unijaribu uwone.....
Nakuja.
Na nakufata piemo, sasa ole wako unittoe kama yule jamaa alietaka kunyonya kote kote!
We kama hupendwi kivyako bhana.....nikupe namba ya mpenzi wangu akuambie nnavyopendeka?
hahaaaaa lol.... alichukulia serious kumbe mwenzie natania... we hutaki kunyonya kote kote?????
Mamaaa! Hadi udenda umenidoka wallah! Umeshaniharibia swaumu yangu! So u have prima facie case! (case to answer!)
swaum sa hivi tunasubiria daku..... hiyo case ngoja nitafute wakili kabisaa
Hahahahahaaa! Ukimpata huyo wakili upange mwenyewe siku ya kusikilizwa!
Uwe na usiku mwema!
Nimependa jina lako tu teh teh. Pole kakangu ila angalia magonjwani bora niwe na hit and run tu maana ukimpenda sn msichana ataishia kukudharau tu.
hahha inabidii aisee ,mambo ya all of meeee loves all of youuu.....baby tonight is the night i let you know.....
Leo sikiliza 'get her back' Robin Thicke....utaniambia
na uta enjoy zaidi the video itafute