Kweli wanawake wanaweza'

Kweli wanawake wanaweza'

p_prezdaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
435
Reaction score
60
Hata wasipowezeshwa wanaweza.
 

Attachments

  • huyuu.jpg
    huyuu.jpg
    30.2 KB · Views: 786
Aiseeee duh ndio maana nawaepuka mabonge

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Kwa haraka nafikiri huyo mama ni MAMA LISHE na huyo mkaka ni mteja kala alafu hana pesa ya kulipa (kwani anaonyesha katulia na kukubali matokeo) sasa shughuli ni kwa afande. Mama mkono wa kushoto kashika pochi yenye pesa za mauzo hapo!!
 
Huo umati umeshindwa hata kumsaidia??Tena naona wanaume ndio kama vile wanashangilia mwenzao akisulubiwa!!!
 
Hajafanya vizuri ofisini halafu mtaani anajifanya kigume. Nani avumilie upuuzi huu lazima ashikishwe adamu. Beijing juu.
 
msela atakuwa kamuibia huyo mdada,
kuna mambo ukifanya hata ukiwa na nguvu vipi unakuwa mdogoo kama piritoni hata kama unazo nguvu kiasi gani!
 
Back
Top Bottom