Nimeziangalia hizi picha kwa umakini na nimegundua kuwa:
Kati ya wajumbe wote wa Serikali kwenye hiki kikao hakuna hata mmoja aliyejishughulisha kuweka kumbukumbu za kikao,
Ilhali kwa upande wa CHADEMA kila mmoja yuko bize kuandika kile kinachojadiliwa.
Je ndiyo tuseme kuwa wawakilishi wa Serikali walikuwa tayari na majibu ya nini kitakachoamuliwa hivyo hawakuhitaji kuweka kumbukumbu ya kinachoongelewa?
ama Hawako makini na majukumu yao ya kila siku kiasi cha kufikia ku-relax kwenye ishu nyeti kama hii?
If the later is true; inatupa picha gani wananchi juu ya vikao wanavyotuwakilisha sehemu nyingine?
View attachment 42310
View attachment 42312
View attachment 42311
Wote vilaza na wamezoea kuchukulia mabo yote kirahisi
hivi vilaza ni wao!!!!au wewe na ndugu zako mliowapa kura!!!!!acheni kulalamika fanyeni kazi!!!!

Kura walipewa au waliiba?
Watu akili yote iko kwenye posho sasa kumbukumbu zitawasaidia nini?
nami pia nimeamua kuchukua muda kuzisoma hizi picha, kabla ya hapo niliona ni picha tu lakini ni wazi kuwa hawa watu wa serikali are too arrogant au ni ujinga tu maana wenzetu wanasema katika majadiliano ni lazima uchukue minutes.
Unless kama ulivyosema kuwa wapo wanajua hata wakijadili vipi majibu wanayo (hata kama yanasema 1+1=11) na hawako tayari kuyabadilisha, sana sana wanasubiri posho ya huo mkutano!
Inasikitisha sana!
aNimeziangalia hizi picha kwa umakini na nimegundua kuwa: