Kweli wamependeza!

Kweli wamependeza!

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
8,335
Reaction score
1,463
Hawa ni askari wa jeshi la indonesia
15.si.jpg
 
Hawa ni askari wa jeshi la indonesia
15.si.jpg
hao wote wamepibwa bikira. udhalilishaji wa ajabu wamefanyiwa. indonesia hauwi askari hadi wamekupima umwanawali physically, wanasema kama haukuwa mwaminifu kutunza bikira yako hauwezi kuwa mwaminifu jeshini. juzi kuna wanaharakati wameanza kupambana na dhana hiyo na serikali imewajibu hivyo. hao wote wamepimwa hapo. pamoja na kwamba ni bikira za mbele tu ndio wanazopimwa.
 
Za nyuma utapimaje mkuu, wakati karibu kila siku kuna vitu vinapita!
 
hiyo mashine hapo kwenye kifua inaitwaje wajameni
 
hawajafikia jeshi la korea la white tigers... jamaa wanauniform nzuri sana.
 
Wa upande wa kulia sura yake kama Halle Berry!
 
Back
Top Bottom