Mkuu niliposema alileta shida nchini nilimaanisha yeye na serikali ambayo yeye ndo alikuwa kiranja mkuu pamoja na mkuu wa nchi..
Kwanza mm huwa napingana sana na jinsi Mwalimu alivokuwa anaendesha nchi...sema tu sasa alishaonekana mtakatifu kwa hyo kumpinga hadharani lazima uwe na akili ya mwendawazimu