Kweli usimdharau mtu.

Kweli usimdharau mtu.

Thamani ya mwanadamu haipimwi kwa anachomiliki bali kwa sifa pekee ya yeye kuwa mwandamu; mali zipo leo kesho hazipo bali ibinadamu husalia mpka mtu aendapo kaburini.

Tuheshimiane bila kujali Vyeo, Rangi, sura, mali, kimo, elimu n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika hutumii Kichwa kufugia nywele, ubarikiwe wewe na uzao wako. Sema Amen!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.

Komenti tayari.
That's my mom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba ina tofautiana standards inawezekana hiyo yako moja thamani yake ndio hizo 3 za mlinzi,acha kutishwa ni sawa uwe na Vogue moja umuogope mtu aliyesema ana gari 3 kumbe ni passo na vitz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom