Kweli usimdharau mtu.

Kweli usimdharau mtu.

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,060
Leo muda fulani nilichepuka niende kununua materials ya ujenzi pale Kamaka. Kwa wasiojua, Kamaka ni kampun ya Warusi wanauza vifaa vya ujenzi..Ni duka kubwa

Sasa wakati nimemaliza kila kitu wanapakia mzigo, tukawa tunapiga stori ya yule mtunza stoo pale, yupo mchafu mchafu hivi..Mimi hapo nimetoka kazini niko nadhifu vibaya mno sitaki hata vumbi linirukie..

Sasa badae wakati naondoka nikawa napiga stori na walionibebea mzigo kwenye gari wakawa wanasema hili gari(canter) ni la yule dogo pale. Nikauliza dogo gani wakasema yule storekeeper pale..

Daaah! nduo stori zikaanza hapo kuwa dogo ni darasa la saba tuu na mshahara wake ni milioni 2.8, ana hizo 3 za kubeba mizigo na mambo mengine kibao. Wakawa wanasema Mrusi haajiri wenye elimu kubwa kwenye vitengo hivyo, akasema wapo wengi tu humu darasa la saba

Akanambia unamwona mlinzi yule ana nyumba 3. Nikasema haiwezekan, akasema subiri akamwita akamwambia oya nyumba ya Kivule ushamaliza, akasema ipo kwenye madirisha. Basi poa nataka panga nyumbani kwako kabsa, ile nyumba ya ....,akamwambia,ya ngap sasa hiv hyo kiutan,akasema mungu ni mwema ya 3.

Nkasema ama kweli....

Uzi tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Mali za Mrusi atakatisha fweza kupitia hao jamaa.Shituka na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuombee iwe ni kweli analipwa 2.8 ml,kama sio hivyo basi umemwaga ugali wa mtu leo hii.
 
Kama chai vile inawezekanaje mtunza stoo awe na mshahara mkubwa hivyo, na magari natatu ya mizigo daaah. Mlinzi nae sijui ni wakampun gani hata suma jkt hawalipi hela za kumwezesha mlinz kujenga nyumba 1 ya maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hivi..pesa inahitaji nidhamu,ndio maana ni rahisi kukuta "mafala" wamefanikiwa,kwanza hawana show off za kijinga na kula bata! Tukija upande wa pili ni kinyume chake!
Waziii
 
Na kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.

Komenti tayari.
 
Leo muda fulani nilichepuka niende kununua materials ya ujenzi pale Kamaka. Kwa wasiojua, Kamaka ni kampun ya Warusi wanauza vifaa vya ujenzi..Ni duka kubwa

Sasa wakati nimemaliza kila kitu wanapakia mzigo, tukawa tunapiga stori ya yule mtunza stoo pale, yupo mchafu mchafu hivi..Mimi hapo nimetoka kazini niko nadhifu vibaya mno sitaki hata vumbi linirukie..

Sasa badae wakati naondoka nikawa napiga stori na walionibebea mzigo kwenye gari wakawa wanasema hili gari(canter) ni la yule dogo pale. Nikauliza dogo gani wakasema yule storekeeper pale..

Daaah! nduo stori zikaanza hapo kuwa dogo ni darasa la saba tuu na mshahara wake ni milioni 2.8, ana hizo 3 za kubeba mizigo na mambo mengine kibao. Wakawa wanasema Mrusi haajiri wenye elimu kubwa kwenye vitengo hivyo, akasema wapo wengi tu humu darasa la saba

Akanambia unamwona mlinzi yule ana nyumba 3. Nikasema haiwezekan, akasema subiri akamwita akamwambia oya nyumba ya Kivule ushamaliza, akasema ipo kwenye madirisha. Basi poa nataka panga nyumbani kwako kabsa, ile nyumba ya ....,akamwambia,ya ngap sasa hiv hyo kiutan,akasema mungu ni mwema ya 3.

Nkasema ama kweli....

Uzi tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamaka wanapatikana wapi?
Wanauza vifaa vya aina gani vya ujenzi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo muda fulani nilichepuka niende kununua materials ya ujenzi pale Kamaka. Kwa wasiojua, Kamaka ni kampun ya Warusi wanauza vifaa vya ujenzi..Ni duka kubwa

Sasa wakati nimemaliza kila kitu wanapakia mzigo, tukawa tunapiga stori ya yule mtunza stoo pale, yupo mchafu mchafu hivi..Mimi hapo nimetoka kazini niko nadhifu vibaya mno sitaki hata vumbi linirukie..

Sasa badae wakati naondoka nikawa napiga stori na walionibebea mzigo kwenye gari wakawa wanasema hili gari(canter) ni la yule dogo pale. Nikauliza dogo gani wakasema yule storekeeper pale..

Daaah! nduo stori zikaanza hapo kuwa dogo ni darasa la saba tuu na mshahara wake ni milioni 2.8, ana hizo 3 za kubeba mizigo na mambo mengine kibao. Wakawa wanasema Mrusi haajiri wenye elimu kubwa kwenye vitengo hivyo, akasema wapo wengi tu humu darasa la saba
Mkuu Nje ya mada kidogo: Bundle la mabati ya Msouth yanauzwaje hapo Kamaka ??
 
Na kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.

Komenti tayari.
Kweli kabisa mkuu umenena vyema!
Hata humu JF kuna baadhi ya member kujiona wao ndo kila kitu na wengine ni mafala tu mbele yao! Lakini hakika nawaambieni nje ya JF mambo ni tofauti kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.

Komenti tayari.
Umekoment nilichotaka kusema sina cha kuongezea..
 
Nadhani wana patikana pale kwenye makutano ya airport (Mwl. Nyenyerere International Airport), kama nime kosea naomba kurekebishwa.
Wapo Karibu na relini barabara ya Nelson Mandela. Nadhani wanatazamana na ofisi za Mwananchi..
 
Na kwanini umdharau mtu??? Me nashangaa sana sisi watu tulivyo wa ajabu,utamsikia mtu anasema usimdharau usiye mjua ina maana unayemjua ndio umdharau???maisha tunategemeana sana na hakuna wa muhimu zaidi kuliko mwenzie..USIMDHARAU yeyote chini ya jua hili,.full stop.

Komenti tayari.
Kabisa Mkuu! Unakijua alichovaa mtu ila anawaza nn huju

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ukitaka kumdharau binafam. Mwenzio kwa nn

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Back
Top Bottom