Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,075
Huyu jamaa tatzo sio Urais.....
Tatizo anaonekana ana stress sana ama atakua ni mgonjwa mgonjwa pia anaonekana kuna kijiba cha moyo kinamkondesha..
Inaonekana huwa ni mtu wa kuchukia chukia tu na hasira au kufoka foka ndo mana unaona anazidi kuchoka...
Yani inaonekana kuna kitu kinamiss......apunguze kujifanya mjuaji na kucomplicate mambo.
Kwani je ndo Rais wa kwanza walikuepo na wakapita....
Ukimcheki sasa hivi na alivokua Waziri utasema uwaziri mzuri kuliko urais....
Sema nini adui muombee njaaa...ngoja azidi kuchoka ili adhoofu mpaka 2020 awe amekufa kabisa au too weak to campaign!
Thank You.
Sent using Jamii Forums mobile app