Kweli Urais siyo mchezo: Magufuli amezeeka aisee!!!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,033
Reaction score
63,176
Leo nilikuwa namuangalia Ngosha alipokuwa akiongea na wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi, Kweli mzee Kazeeka ghafla. Ile nuru aliyoipata baada ya miezi michache ya kuingia magogoni imepotea, Ngosha kawa mzee aisee!.

Nimeangalia kichwa chake kile, Japo kina Kauarazo ka asili kule juu, lakini leo nimeona hata zile nywele za pembeni japo kaziparuza, lakini Mvi zinaonekana waziwazi!. Kimoyomoyo nikasema yeees, sasa dozi inaingia kisawasawa!.Uraisi umemzeesha aisee. Kweli kazi ya Uraisi siyo mchezo!.

Lakini nikawa naangalia, nikastuka Ngosha anaposema kuwaonea huruma wafanyakazi kwa kuishangaa ile sheria ya kikokotowo!, Lakini nikajiuliza, SI NI YEYE NDIYE ALIYEITIA SAINI ILI IWE SHERIA AU AMESAHAU?, Wakati natafakari hilo nikagundua kuwa Wazee huwa wana kawaida ya kusahausahau!!

Anyway pamoja na hayo: Kusimamisha utekelezaji wa sheria iliyokwisha sainiwa kwa kauli ya raisi siyo kinga thabiti juu ya masilahi ya mfanyakazi, Wafanyakazi tunataka hiyo sheria irudishwe bungeni Itenguliwe kwanza halafu ndo tukae upya wadau tutengeneze sheria nyingine!. Sidhani kama Raisi ana mamlaka ya kusitisha utekelezwaji wa sheria fulani hadi tarehe fulani ya mwaka 2023, la sivyo huu huenda ni mtego wa kisiasa wa kusubiri uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka kesho na ule uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 upite halafu serikali iendelee kumkamua mfanyakazi kupitia sheria hiyohiyo Waliyoitunga, kuipitisha na kuisaini, Halafu leo wanajifanya KUIKANA LAKINI HAWATAKI KUIFUTA!

Wafanyakazi wameipokea gesture ya mheshimiwa raisi, lakini wanasema kuwa bado haitoshi, kusitishwa utekelezaji wa sheria haimaanishi kuwa sheria hiyo imeondoka. Maana yake ikitokea wakashindwa kuelewana na serikali katika mazungumzo basi hiyo sheria kandamizi bado iko palepale inasubiri kuwanyonga!,

Maana kama sheria imetungwa na serikali, Ikapitishwa kwa kura za wingi za ndiyo na wabunge wa chama kinachounda serikali, kama ilijadiriwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri ambacho raisi ni mwenyekiti kisha Ikasainiwa na Raisi huyohuyo ambaye leo "anawaonea huruma wafanyakazi kuwa hiyo sheria ni mbaya" Je ni ipi guarantee kuwa Usitishwaji wa utekelezaji wa hiyo sheria una nia njema kutoka upande wa serikali?.

SERIKALI ITENGUE HIYO SHERIA KUPITIA BUNGENI KWANZA ILI MAZUNGUMZO YAANZE!
 
"There are two great days in a person's life - the day we are born and the day we discover why".
William Barclay
 
Haya mambo yanachosha; Baraza la Mawaziri linabariki mabadiliko ya sheria ya mifuko ya jamii; Bunge linapitisha kuwa sheria; Rais anaisign then Rais anashangaa namna mfanyakazi anavyonywa na kuamuru sheria iwe inactive hadi 2023 ili vikokotoo vya zamani viendelee kutumika

Tuombe Mungu kwa kipindi hiki asitokee mtu ama taasisi yoyote kwenda Mahakamani kudai kwamba mabadiliko haya ni kinyume cha sheria..
 
Sheria kama ilivyotungwa na bunge (principal legislation) ni kweli ilisainiwa na raisi .
ila kanuni (regulations) hutungwa na waziri wa wizara husika so alichofanya raisi ni kusimamisha matumizi ya kanuni.

solidarity forever
 
Haya mambo yanachosha; Baraza la Mawaziri linabariki mabadiliko ya sheria ya mfuko ya jamii; Bunge linapitisha kuwa sheria; Rais anaisign then Rais anashangaa namna mfanyakazi anavyonywa na kuamuru sheria iwe hold ili vikojotoo vya zamani vitumike..

Tuombe asitokee mtu wa kwenda Mahakamani kudai kwamba mabadiliko haya ni kinyume cha sheria..

Mkuu ni maajabu ya karne haya!!
Halafu badala ya hiyo sheria kubadirishwa eti inasitishwa mpaka mwaka 2023!. Ni wapi raisi ana mamlaka ya kusitisha sheria?
INAPASWA APELEKE MUSWADA BUNGENI IBADIRISHWE!, Isipobadirishwa maana yake mfanyakazi anaendelea kulipwa kwa hisani ya mtu na si kwa mujibu wa sheria!

Kwa lugha nyingine maana yake ni kwamba kama wafanyakazi wataendelea kulipwa kwa sheria ya Zamani ambayo haipo tena basi wanalipwa KINYUME CHA SHERIA!
 
Sheria kama ilivyotungwa na bunge (principal legislation) ni kweli ilisainiwa na raisi .
ila kanuni (regulations) hutungwa na waziri wa wizara husika so alichofanya raisi ni kusimamisha matumizi ya kanuni.

solidarity forever

Tatizo liko palepale kwa sababu sheria ya msingi inayompa Waziri power za kutunga kanuni iko palepale!, ndiyo maana ngosha kazisimamisha hizo kanuni hadi 2023, beyond that Mfanyakazi hana guarantee, maana Power za waziri ziko palepale!

Dawa ni kuibadiri hiyo sheria!
 
Mkuu ni maajabu ya karne haya!!
Halafu badala ya hiyo sheria kubadirishwa eti inasitishwa mpaka mwaka 2023!. Ni wapi raisi ana mamlaka ya kusitisha sheria?
INAPASWA APELEKE MUSWADA BUNGENI IBADIRISHWE!, Isipobadirishwa maana yake mfanyakazi anaendelea kulipwa kwa hisani ya mtu na si kwa mujibu wa sheria!

Kwa lugha nyingine maana yake ni kwamba kama wafanyakazi wataendelea kulipwa kwa sheria ya Zamani ambayo haipo tena basi wanalipwa KINYUME CHA SHERIA!
Kama hujui kitu uliza! Kikokotoo ni Regulations
 
Leo nilikuwa namuangalia Ngosha alipokuwa akiongea na wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi, Kweli mzee Kazeeka ghafla. Ile nuru aliyoipata baada ya miezi michache ya kuingia magogoni imepotea, Ngosha kawa mzee aisee!.

Nimeangalia kichwa chake kile, Japo kina Kauarazo ka asili kule juu, lakini leo nimeona hata zile nywele za pembeni japo kaziparuza, lakini Mvi zinaonekana waziwazi!. Kimoyomoyo nikasema yeees, sasa dozi inaingia kisawasawa!.Uraisi umemzeesha aisee. Kweli kazi ya Uraisi siyo mchezo!.

Lakini nikawa naangalia, nikastuka Ngosha anaposema kuwaonea huruma wafanyakazi kwa kuishangaa ile sheria ya kikokotowo!, Lakini nikajiuliza, SI NI YEYE NDIYE ALIYEITIA SAINI ILI IWE SHERIA AU AMESAHAU?, Wakati natafakari hilo nikagundua kuwa Wazee huwa wana kawaida ya kusahausahau!!

Anyway pamoja na hayo: Kusimamisha utekelezaji wa sheria iliyokwisha sainiwa kwa kauli ya raisi siyo kinga thabiti juu ya masilahi ya mfanyakazi, Wafanyakazi tunataka hiyo sheria irudishwe bungeni Itenguliwe kwanza halafu ndo tukae upya wadau tutengeneze sheria nyingine!. Sidhani kama Raisi ana mamlaka ya kusitisha utekelezwaji wa sheria fulani hadi tarehe fulani ya mwaka 2023, la sivyo huu huenda ni mtego wa kisiasa wa kusubiri uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka kesho na ule uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 upite halafu serikali iendelee kumkamua mfanyakazi kupitia sheria hiyohiyo Waliyoitunga, kuipitisha na kuisaini, Halafu leo wanajifanya KUIKANA LAKINI HAWATAKI KUIFUTA!

Wafanyakazi wameipokea gesture ya mheshimiwa raisi, lakini wanasema kuwa bado haitoshi, kusitishwa utekelezaji wa sheria haimaanishi kuwa sheria hiyo imeondoka. Maana yake ikitokea wakashindwa kuelewana na serikali katika mazungumzo basi hiyo sheria kandamizi bado iko palepale inasubiri kuwanyonga!,

Maana kama sheria imetungwa na serikali, Ikapitishwa kwa kura za wingi za ndiyo na wabunge wa chama kinachounda serikali, kama ilijadiriwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri ambacho raisi ni mwenyekiti kisha Ikasainiwa na Raisi huyohuyo ambaye leo "anawaonea huruma wafanyakazi kuwa hiyo sheria ni mbaya" Je ni ipi guarantee kuwa Usitishwaji wa utekelezaji wa hiyo sheria una nia njema kutoka upande wa serikali?.

SERIKALI ITENGUE HIYO SHERIA KUPITIA BUNGENI KWANZA ILI MAZUNGUMZO YAANZE!

Pigia mstari hayo maneno ya rangi nyekundu.
 
Ndgu watanzania sheria na kanuni zipo pale pale chamsingi ni zirudishwe bungeni zifanyiwe tena mabadiliko ili kipindi cha mpito kikiisha na zikirudishwa zisiwe za kubana mstaafu

Yes, that is the point!
Wafanyakazi hatuwezi kuishi kwa hisani ya mtu maana hatujui kesho ataamkaje!. Tunataka guarantee ya kisheria ya kuhakikisha hicho kikokotowo cha 25% hakimo katika sheria au kanuni zake!
 
Jiwe anazidi kujichanganya mwenyewe, anapingaje aheria aliyosaini mwenyewe?? Alijua anamkomoa Mbowe na Lisu??

Back
Top Bottom