Kweli umeme ni shida mpaka.

Kweli umeme ni shida mpaka.

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Kweli tatizo la umeme Tanzania limekuwa sugu, mpaka watu wameamua kubadili mawazo yao katika mambo na shughuli mbalimbali, Tumezoea kuona kwenye maharusi watu wakipewa zawadi kama Fridge, Tv's, majiko ya umeme, lakini hali imebadilika zawadi sasa zimekuwa majenereta.

Harusi ya Seki wa zecomedy akikabidhiwa jenereta lake #Hapagizatu CCM giza kwa giza (sio mbele kwa mbele)

12080594_771431559652273_1801790617_n.jpg
 
Back
Top Bottom